Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
- Thread starter
- #21
Kipute kimemalizika pia kati ya Wydad Casablanca na Etoile du Sahel. Etoile wameshinda moja bila lakini wametolewa kwa matokeo ya jumla (aggregate).
Nusu fainali ni kati ya Wydad dhidi ya Al Ahly na Zamalek dhidi ya Raja Casablanca.
Natabiri fainali ni kati ya Zamalek na Ahly na bingwa nampa Ahly.
Nilichojifunza ni kwamba hii ni ''ligi kuu ya waarabu wa Afrika''. Timu zetu akina sisi bado sana kufikia level za kutamba katika ligi hiyo
Jamaa wako vizuri sana, kama ulaya vile