CAF champions league quarter final, today!

CAF champions league quarter final, today!

Kipute kimemalizika pia kati ya Wydad Casablanca na Etoile du Sahel. Etoile wameshinda moja bila lakini wametolewa kwa matokeo ya jumla (aggregate).

Nusu fainali ni kati ya Wydad dhidi ya Al Ahly na Zamalek dhidi ya Raja Casablanca.
Natabiri fainali ni kati ya Zamalek na Ahly na bingwa nampa Ahly.

Nilichojifunza ni kwamba hii ni ''ligi kuu ya waarabu wa Afrika''. Timu zetu akina sisi bado sana kufikia level za kutamba katika ligi hiyo

Jamaa wako vizuri sana, kama ulaya vile
 
muda umefika kwa waafrika kuanzisha ligi isiyowahusisha waarabu, hata waarabu wana ligi yao wenyewe waarabu tupu, na ligi yao ina hela sana ndio inayowapa utajiri hizi timu za africa za waarabu
 
muda umefika kwa waafrika kuanzisha ligi isiyowahusisha waarabu, hata waarabu wana ligi yao wenyewe waarabu tupu, na ligi yao ina hela sana ndio inayowapa utajiri hizi timu za africa za waarabu
Ila jana kwa TP Mazembe ilikua ni wao tu..refa alikua fair Sana..na penati wakapewa..ila wakakosa..sasa sijui niseme bahati haikua yao..
 
Back
Top Bottom