Caf Champions league-Semi final, LIVE...

Caf Champions league-Semi final, LIVE...

Naomba tujadiliane kidogo namna ya kuangalia huu mpira mda ukifika je kuna app yoyote tunaweza kuangalia binafsi niko kwa mazembe na mamelod washinde wakiingia finali wao wachague nani achukue watakuwa wamenipunguzia mzigo maana hapa nawaza uefa ma europa
 
My prediction today;

Mamelodi 1-2 Wydad Casablanca...Aggregate 2-4

Mazembe 1-0 Esperance De Tunis...Aggregate 1-1


Kila la heri Wydad Casablanca, Mungu awape ushindi 😊 😊
 
Bongo bado tuko nyuma sana, yani hata channel moja tu hakuna!!! Siasa hizi 😡
 
Kuna haja ya kila mtu kuwa na kingamuzi cha dstv maana ZBC2 Nikama walinunua haki za kuonyesha mechi za simbatu. Dstv ndio wanajua nini maana ya burudani kwa wote.
 
Vipi mtoa mada mbona kimya hebu tujuze kinacho endelea now.
 
Back
Top Bottom