logframe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,242
- 5,543
Mechi zote zipo dakika ya 84, weusi wametawala possession ila waarabu wamebana hatari kupitika.Mechi inaendeleaje dah tathimini yako mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi zote zipo dakika ya 84, weusi wametawala possession ila waarabu wamebana hatari kupitika.Mechi inaendeleaje dah tathimini yako mkuu
Domain Seized by Law Enforcement
www.hesgoal.com
Safi sana kaka,Game nyingine uwe unatufanyia fair kama iviDomain Seized by Law Enforcement
www.hesgoal.com
Mechi zote zipo dakika ya 84, weusi wametawala possession ila waarabu wamebana hatari kupitika.
Jamaa nimempatia kongole yake,awe anatusaidia ivi iviThanx sana kamanda...iko clear kabisa...
Jamaa nimempatia kongole yake,awe anatusaidia ivi ivi
Mechi zote zipo dakika ya 84, weusi wametawala possession ila waarabu wamebana hatari kupitika.
Mamelod wangese kweli eti goli moja tu limewashinda.
Jamani mwenye link nyingine ya game ya Livepool na Newcastle United atuwekee muda ukifika
Ndio ile link niliigogle upya ikaniletea iyo game ya Livepool yaani ipo clear mpaka raha yaaniNimechelewa kuingia humu, hope ulifanikisha mkuu...