BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
- Thread starter
-
- #21
Dstv wataonyesha kupitia chaneli 208 (S8) Tp Mazembe vs Esperance, chaneli 211 (S11) Mamelodi vs Wydad
ZBC 2 hawaoneshi hizi mechi?
Bado ushetani wa Simba unakutawala akili yako[emoji848]Hahaha leo mazembe lazima akae
Bado ushetani wa Simba unakutawala akili yako[emoji848]
Imaskitisha sana haya mang'amuzi nje na DstvBongo bado tuko nyuma sana, yani hata channel moja tu hakuna!!! Siasa hizi 😡
Imaskitisha sana haya mang'amuzi nje na Dstv
Mkuu, kazi sana ku mantain malipo.Dstv nao wanatupiga hela nyingi...mpaka nachoka
Leo wote wana kaziMamelod ana hali ngumu leo, Mazembe nae akaze sana.
Kabisa, leo naona waarabu wamedhamiria kitu, hasa hao Wydad Casablanca.Leo wote wana kazi
Enzi za kujipigia ziliishia kwa Simba na Al ahly
Mamelod ana hali ngumu leo, Mazembe nae akaze sana.