Caf Champions league-Semi final, LIVE...

Mazembe na Mamelodi wameshatolewa,fainali itakuwa ni ya waarabu na kombe linabakia tena uarabuni,
 
Jamaa nimempatia kongole yake,awe anatusaidia ivi ivi

Sure...nimetafuta link mpaka dakika ya 70 sikufanikisha nikajikatia tamaa kamanda...dah jamaa ametusaidia sana
 
Mechi zote zipo dakika ya 84, weusi wametawala possession ila waarabu wamebana hatari kupitika.

Walijifanya wababe sana kwetu...wamekutana na walimu wao 😀 kenge hao
 
Jamani mwenye link nyingine ya game ya Livepool na Newcastle United atuwekee muda ukifika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…