Vyura fc wanaomba lile dua la kukuKama kawa mnyama anaua tena!
Mkuu vipi mbona unaongea kwa hasira hivo?AS VITA TUNAPINDUA MEZA KIBABE
hapana sio kwa hasira mkuuMkuu vp mbona unaongea kwa hasira ivo
Asante na sisi hatuto kuangusha lazima tukupe kampani ushiliki mwakani na weweMimi ni shabiki nguli wa Yanga , nawatakia Simba ushindi mnono wa magoli 4 kwa bila.
Daima mbele nyuma mwiko.
Mkuu nimekufatilia sana comments zako nyingi ni kuiombea mabaya Simba tu lakini haujawahi kufanikiwa hivi HUCHOKI.AS VITA TUNAPINDUA MEZA KIBABE
hakuna kitu utporo nyinyiAS VITA TUNAPINDUA MEZA KIBABE
Ulikimbia uzi wako leo umerudi tenaAS VITA TUNAPINDUA MEZA KIBABE