CAF Champions League: Simba kuingiza mashabiki 10000

CAF Champions League: Simba kuingiza mashabiki 10000

homeless1

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2020
Posts
427
Reaction score
950
Kwa taarifa za awali na zilizonifikia ni kua mpaka sasa club ya Simba imeruhusiwa kuingiza mashabiki 10000 kwenye mchezo wa trh 3/4/2021 dhidi ya As Vita Club .

Taarifa njema kwa simba ilocheza bila mashabiki kwenye mchezo wa mwisho dhid ya Al merreikh ni kua mchezaji fundi wa As Vita Shaaban Djuma hatakua sehemu ya huo mchezo.
 
Daah pilika pilika za msiba wa taifa na kumpokea raisi mpya kumefanya tuiweke kandanda pembeni kwa muda

Ila sio ishu naiamani na simba
 
Wana simba tunaweza ingia ata zaidi ya iyo idadi[emoji23]
 
Tatizo la mashabiki wa Tanzania ni tabia yetu ya kuidharau Corona, huwa tunarundikana sehemu moja bila kuzingatia nafasi ya ukaaji uwanjani.

Kuhusu mchezaji wa As Vita Djuma, huenda ni maind game tu'. Hata Simba iliwahi kufanya kwenye game dhidi ya Yanga - ilidanganya kuwa Kapombe mgonjwa ila siku ya mechi tukamuona yupo uwanjani.
 
Back
Top Bottom