Kwa taarifa za awali na zilizonifikia ni kua mpaka sasa club ya Simba imeruhusiwa kuingiza mashabiki 10000 kwenye mchezo wa trh 3/4/2021 dhidi ya As Vita Club .
Taarifa njema kwa simba ilocheza bila mashabiki kwenye mchezo wa mwisho dhid ya Al merreikh ni kua mchezaji fundi wa As Vita Shaaban Djuma hatakua sehemu ya huo mchezo.