sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kwa zile sherehe zilizofanyika kiukweli ziliwastusha mpaka Caf, Tofauti na manyonyo waliozoea kutembeza kombe kwenye fusa huku wakiwa na mashabiki wachache, Yanga ilionyesha ni namna gani kombe inabidi lisherekewe huku kukiwa na mashabiki wengi sana ....
Hali hii machoni mwa caf tayari ni kigezo tosha kwa Mabingwa kushiriki super league katika timu 8 za ukanda wetu.
Tofauti ya mashabiki wa simba ni kwamba simba inanunua followers wa mitandaoni, hata account ya instagram walinunua account ya bikira wa kisukuma iliyokuwa na followers takribani laki 9 tayari