THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Hii Picha kwanini wasingemweka na nyerere?
Najua kuna watu mtaniona kama nimewehuka ila mjue hizi issue ndio hua zinafanya wamchukulie poa Nyerere kabisa.
Nyerere kafanya makubwa Mengi kwa Afrika ila hua hatambuliwi hadi hapa unaona kabisa..wameona huyo Askari ndie mkubwa Nchini kuliko Nyerere.
Uhuru wa Nchi za kusini Nyerere kashiriki hadi tukaimba na Nyimbo zipo hadi kesho zinaimbwa na watoto wetu kule shule ya Msingi wakat wa mchakamchaka.
Mtambueni na Nyerere, Mandela hakua na kubwa zaidi ya kusamehe watu weupe.
Nakuwaacha watu weusi wenzake kwenye umasikini hadi leo bila msaada.