THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Sio hoja mkuu...Unataka kuniambia South hakuna Masanamu Mengine?Wametumia picha za sanamu kubwa zilizopo nchi zote.
Sio hoja mkuu...Unataka kuniambia South hakuna Masanamu Mengine?
Ubuthu Bontho ππnadhani hawakutaka kumdhalilisha baba wa taifa maana baada ya game ni fedheha kwa taifa
Walichemka au maelezo ya boss rais wa CAF.Hii Picha kwanini wasingemweka na nyerere?
Najua kuna watu mtaniona kama nimewehuka ila mjue hizi issue ndio hua zinafanya wamchukulie poa Nyerere kabisa.
Nyerere kafanya makubwa Mengi kwa Afrika ila hua hatambuliwi hadi hapa unaona kabisa..wameona huyo Askari ndie mkubwa Nchini kuliko Nyerere.
Uhuru wa Nchi za kusini Nyerere kashiriki hadi tukaimba na Nyimbo zipo hadi kesho zinaimbwa na watoto wetu kule shule ya Msingi wakat wa mchakamchaka.
Mtambueni na Nyerere, Mandela hakua na kubwa zaidi ya kusamehe watu weupe.
Nakuwaacha watu weusi wenzake kwenye umasikini hadi leo bila msaada.
View attachment 2948978
Wako Sahihi,Baba wa Taifa hakuwa anatembea na Mwiko Nyuma kama Yanga,hivyo kuweka Picha yake ingekuwa ni kutotemdea haki legacy ya Nyerere haswaa kwenye harakati za ukombozi wa Nchi za AfricaHii Picha kwanini wasingemweka na nyerere?
Najua kuna watu mtaniona kama nimewehuka ila mjue hizi issue ndio hua zinafanya wamchukulie poa Nyerere kabisa.
Nyerere kafanya makubwa Mengi kwa Afrika ila hua hatambuliwi hadi hapa unaona kabisa..wameona huyo Askari ndie mkubwa Nchini kuliko Nyerere.
Uhuru wa Nchi za kusini Nyerere kashiriki hadi tukaimba na Nyimbo zipo hadi kesho zinaimbwa na watoto wetu kule shule ya Msingi wakat wa mchakamchaka.
Mtambueni na Nyerere, Mandela hakua na kubwa zaidi ya kusamehe watu weupe.
Nakuwaacha watu weusi wenzake kwenye umasikini hadi leo bila msaada.
View attachment 2948978
nadhani hawakutaka kumdhalilisha baba wa taifa maana baada ya game ni fedheha kwa taifa
Duh! nimetoka mbio huku nacheka kama zuzu π πWaweke na nembo ya chama cha ccm...