CAF kwanini wanalea utamaduni mbaya wa kushangilia unaofanywa na waarabu?

Mtumieni Jecha na wenzake nao wasaidie ushindi kama mnavyowatumia kila wakati.
 
Kwan hizo timu zingine zinashibdwa nini kuiga hayo yote ukiacha hilo la kugonga waamuzi? Naona Yako ndani ya uwezo kabisa
 
Kwan hizo timu zingine zinashibdwa nini kuiga hayo yote ukiacha hilo la kugonga waamuzi? Naona Yako ndani ya uwezo kabisa
Yaani unashauri watu waige uhuni michezoni?
 
Wa Africa km Sokwe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waafrika kama swala.

Ngurue ni mshenzi/katili/akili ndogo.

Fisi ni mnyonyaji, mwenye kupenda kutumia jasho la wengine, na haonei aibu uchafu wake, wala kufanya hadharani. Anaweza kumlaumu mama swala kumzuia asimle mtoto wake.

Ngedere ni wenye hila, ujanja mwingi, weziwezi na ving'ang'anizi. Warubunifu.

Swala, ni mpole, mzembe, mvivu kufikiri na matokeo yake amekuwa mnyonge wa kila mnyama. Hachelewi kusahau, anapenda sana kuishi kwa imani badala ya kanuni, inamgharimu sana.
 
Nimekuelewa sana mkuu
 
Nilijua tu wewe ni utopolo.
Ilikuwa TFF,sasa CAF
 
Timu zingine zikajifunze kwa Mamelod jinsi ya kuwadhibiti Waarabu nyumbani na ugenini!
 
Kuna mechi Yanga waliwasha mafataki wakapewa onyo na CAF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…