CAF kwanini wanalea utamaduni mbaya wa kushangilia unaofanywa na waarabu?

Team kutoka Kaskazini mwa Africa
Zimekuwa zikifika uhuni mwingi ili kupata matokeo changa kwenye michezo yao
Uhuni huo sio uungwana kwenye football
Lakini utashangaa jinsi CAF wanavyokaa kimya bila kutoa adhabu yoyote ili kukomesha huu uhuni

Tujikumbushe namba fainali kati ya Young Africans na USM Alger ilivyoharibiwa a mbinu chafu na za kihuni

Wanatumia ball boys kupoteza muda
Kutumia tochi kumulika wachezaji wa team pinzani,

Wanatumia watu wa huduma ya kwanza na matabibu wa team kupoteza muda

Kujiangusha ovyo uwanjani

Kuhonga waamuzi na matendo mengine mabaya

Tujikumbushe pia uhuni kati ya mechi ya Al ahly vs al hilal
Simba vs wydad
Simba vs Raja
CAF wawajibishe warabu na uhuni na dhuluma zao katika football
Ama kweli warabu ni watu wenye tamaduni za ovyo ni watu ovyo ovyo tu
Mungu awasaidie ustaarabu na utu uwafikie waarabu
Mtumieni Jecha na wenzake nao wasaidie ushindi kama mnavyowatumia kila wakati.
 
Kwan hizo timu zingine zinashibdwa nini kuiga hayo yote ukiacha hilo la kugonga waamuzi? Naona Yako ndani ya uwezo kabisa
 
Yaani unashauri watu waige uhuni michezoni?
 
Wa Africa km Sokwe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waafrika kama swala.

Ngurue ni mshenzi/katili/akili ndogo.

Fisi ni mnyonyaji, mwenye kupenda kutumia jasho la wengine, na haonei aibu uchafu wake, wala kufanya hadharani. Anaweza kumlaumu mama swala kumzuia asimle mtoto wake.

Ngedere ni wenye hila, ujanja mwingi, weziwezi na ving'ang'anizi. Warubunifu.

Swala, ni mpole, mzembe, mvivu kufikiri na matokeo yake amekuwa mnyonge wa kila mnyama. Hachelewi kusahau, anapenda sana kuishi kwa imani badala ya kanuni, inamgharimu sana.
 
Nimekuelewa sana mkuu
 
Team kutoka Kaskazini mwa Africa
Zimekuwa zikifika uhuni mwingi ili kupata matokeo changa kwenye michezo yao
Uhuni huo sio uungwana kwenye football
Lakini utashangaa jinsi CAF wanavyokaa kimya bila kutoa adhabu yoyote ili kukomesha huu uhuni

Tujikumbushe namba fainali kati ya Young Africans na USM Alger ilivyoharibiwa a mbinu chafu na za kihuni

Wanatumia ball boys kupoteza muda
Kutumia tochi kumulika wachezaji wa team pinzani,

Wanatumia watu wa huduma ya kwanza na matabibu wa team kupoteza muda

Kujiangusha ovyo uwanjani

Kuhonga waamuzi na matendo mengine mabaya

Tujikumbushe pia uhuni kati ya mechi ya Al ahly vs al hilal
Simba vs wydad
Simba vs Raja
CAF wawajibishe warabu na uhuni na dhuluma zao katika football
Ama kweli warabu ni watu wenye tamaduni za ovyo ni watu ovyo ovyo tu
Mungu awasaidie ustaarabu na utu uwafikie waarabu
Nilijua tu wewe ni utopolo.
Ilikuwa TFF,sasa CAF
 
Timu zingine zikajifunze kwa Mamelod jinsi ya kuwadhibiti Waarabu nyumbani na ugenini!
 
Acheni visingizio mlizidiwa, nyinyi mlipo ifunga simba 5 mbona mlichoma hayo mafataki yenye rangi ya njano na kijani?

Alafu hakuna sheria yeyote ya fifa inayo kataza mafataki uwanjani labda ww kama sio mfuatiriaji wa lingi mbali mbali duniani.

Kwenye ligi za Ujerumani na Ufaransa mafataki yamekuwa yakitumika sana tu.

Ukienda kwenye ligi za America ya kusini hata waarabuni wakasome.
Kuna mechi Yanga waliwasha mafataki wakapewa onyo na CAF
 
Back
Top Bottom