Said S Yande
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 879
- 652
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndiyop madhara yake hayo si zahera ndiye aliwaambia waje na mask,wakakataa basi walilopewa na simba wakakodi coaster sasa awanadai maji yalikuwa na sumu ina maana walikataa basi wakakubali kupewa maji ya kunywa na simba au yalitoka kiwandani yakiwa na sumu?kuna kauli ilitolewa na msemaji wa vyura kuwa Simba huwa inapuliza dawa kwenye vyumba vya kubadirishia nguo cha ajabu TFF hawakuchukua hatua yoyote ya kumhoji kwanini anapayuka vitu bila kuwa na ushahidi haya yanaweza kuwa matokeo yake