mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,162
- 3,088
Kaizer chief miaka mingi hata ku qualify tu kwenye klabu bingwa wanachemka wamejikongoja mwaka huu. Point unapata unapoingia champions league. Kila atua unayosonga point zinaongezekaHiyo list ni fake, Kaiser Chiefs imezidiwa na Gor Mahia, huu ni uzushi
Acha basi.....wananchi kwa wivu!Namba 17 siyo ya kujisifia sana. Angalau tungeuwa namba 7 tungesema hapo safi. Namba 17 kushuka daraja ni rahisi sana.
NmeshangaaHiyo list ni fake, Kaiser Chiefs imezidiwa na Gor Mahia, huu ni uzushi
Hizi rank nizakujifurahisha For mahia iwe juu yae Kaizer chiefs?Kaizer chief miaka mingi hata ku qualify tu kwenye klabu bingwa wanachemka wamejikongoja mwaka huu. Point unapata unapoingia champions league. Kila atua unayosonga point zinaongezeka
unazungumza na utopolo,anajua kila kitu ila ni roho mbaya tuKaizer chief miaka mingi hata ku qualify tu kwenye klabu bingwa wanachemka wamejikongoja mwaka huu. Point unapata unapoingia champions league. Kila atua unayosonga point zinaongezeka
wakati unashangaa search top 400 clubs in the world,list imetoka Leo halafu search caf 5 year ranking system, for mahia tangu 2017 hawakosekani hatua ya makundi Kaiser chiefs wana miaka karibu kumi hawajaingia group stages wameingia juzi au mnataka wenye pesa wawe juuHizi rank nizakujifurahisha For mahia iwe juu yae Kaizer chiefs?
Jameni 17/50 unasema ni nafasi mbaya?Namba 17 siyo ya kujisifia sana. Angalau tungeuwa namba 7 tungesema hapo safi. Namba 17 kushuka daraja ni rahisi sana.
Nakazia Yani Difa el Jadidi kazidiawa na KCCA?Hiyo list ni fake, Kaiser Chiefs imezidiwa na Gor Mahia, huu ni uzushi
uto poleni sana hao difaa Kwa miaka mitano wamefanya nini,mnajua points Inavyopatkana,FIFA Leo wametoa teams bora 400 duniani kaxhungulie list ila tayarisha leso ya kufutia machozi kabisaNakazia Yani Difa el Jadidi kazidiawa na KCCA?
Namuona hapo Rayon Sports Sasa Rayon na Yanga wapi na wapi?
Mwenye namba za fifa awapigie awaambie ukweli.
Hawa wotee ni wagonjwa.FIFA nao wametoa simba ya 298,al ahly ya 44 utopolo bado natafuta watakuwa 3000
Kaizer chief mwaka huu imeingia group stage ya CAF kwa mala ya kwanza tangu kuanzishwa kwake. Kwa hiyo unafikili ikiwa ni club kubwa SA ndio iwe club kubwa Africa? Sasa nenda kafananishe na profile ya Gor mahia.Hizi rank nizakujifurahisha For mahia iwe juu yae Kaizer chiefs?
Sio miaka kumi, hawakuwahi kuingia. Hii ndio mala yao ya kwanzawakati unashangaa search top 400 clubs in the world,list imetoka Leo halafu search caf 5 year ranking system, for mahia tangu 2017 hawakosekani hatua ya makundi Kaiser chiefs wana miaka karibu kumi hawajaingia group stages wameingia juzi au mnataka wenye pesa wawe juu
Nikumbushe ni lini hao Difa jadid waliqualify Africa champions league nikukumbushe mala ngapi KCCA wameshiliki. Sasa hapo wanaongelea five years ranking Rayon wamepeleka timu champions league mala zote. Yanga alipeleka mwaka gani ndani ya miaka mitano.Nakazia Yani Difa el Jadidi kazidiawa na KCCA?
Namuona hapo Rayon Sports Sasa Rayon na Yanga wapi na wapi?
Mwenye namba za fifa awapigie awaambie ukweli.