CAF sio wajinga kuwanyima marefa wa Tanzania mechi za CAF champions league

CAF sio wajinga kuwanyima marefa wa Tanzania mechi za CAF champions league

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Tazama mwenyewe picha ..

Sehemu ya kuweka ukuta refa anakubalije mechi ianze wakati ukuta bado anaelekeza pa kukaa..

Tazama morrison alipo.. tazama refa alipo na anafanya nini huyo refa

IMG-20210626-WA0023.jpg
 
Mambo ya kisengerema haya! Soka letu halitokaa liendelee hasirani abadani..!!
 
Kata rufaa, henri amewahi wafunga goli chelsea, real madrid nacho amewahi wafunga seville wote walikua wanashangaa shangaa ma slow thinking...
1.Ukiangalia video refa hana uhakika mpira ulipigwa kutoka eneo gani
2. filimbi ilikua mkononi huo mpira kauanzia aje?
3 . Eneo alilo simama refa sio sahihi
 
Jinga wewe
Mbona hatuwaoni mkichezesha za kimataifa kama mpo na viwango.
Nasema hivi wewe boya huna point ya msingi, umetumia goli la leo la simba kama reference ya kutetea ujinga wako nimekubia ulaya huko unakokusofia moja ya spain real vs sevile nacho alifunga goli kama la leo, na uingereza henri alifunga nae dhidi ya chelsea na marefa wa fifa ila bado unadai mazingira yalikua tofauti, una maanisha mazingira ya jografia au??
Boya kabisa wewe...ionee aibu akili yako kwa kukuangusha..
 
Refa haruhusuwi kusimama kwenye ukuta hapo ni kama kaziba angalia vizuri mkuu
 
Back
Top Bottom