CAF sio wajinga kuwanyima marefa wa Tanzania mechi za CAF champions league

CAF sio wajinga kuwanyima marefa wa Tanzania mechi za CAF champions league

Tatizo la Tanzania tuna mashabiki wenye mahaba na mapenzi ya mpira lakini hawazijui sheria wala kanuni za mpira......na hawapendi kujielimisha......

Inaweza ikawa goli au sio goli lakini kanuni zinasemaje kuhusu suala hilo.....??
 
Faulo ilipulizwa.Maana yake mchezo umesimama.

Ili mchezo uendelee lazima refarii aruhusu tena.
refa alikua ana ongea nini na wachezaji wa Azam kama ame ruhusu mpira uanze?
Wewe jamaa ni mweupe sana kichwani ...

Empty headed kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1.Ukiangalia video refa hana uhakika mpira ulipigwa kutoka eneo gani
2. filimbi ilikua mkononi huo mpira kauanzia aje?
3 . Eneo alilo simama refa sio sahihi
Subiri kipyenga cha Mwisho upate darasa kutoka kwa Othuman Kazi!Tatizo wabongo hamjui sheria halafu midomo kwa sana!
 
Unaongea upumbavu

Hawa marefa wanasifa zipi kila siku ushenzi .....

Kama wanaviwango mbona hawapewi mechi za kimataifa.

Ushabiki wakipumbavu
Zungumzia tukio husika na sheria inasemaje juu ya Quick free kick!Msome sheria za mpira kabla ya kupanua midomo yenu,wabongo noma!Ungesubiri walau mpira uishe usikie walau wachambuzi wanasemaje!Au ungeingia youtube ukasearch quick free kick halafu ukajifunza!
 
Tazama mwenyewe picha ..

Sehemu ya kuweka ukuta refa anakubalije mechi ianze wakati ukuta bado anaelekeza pa kukaa..

Tazama morrison alipo.. tazama refa alipo na anafanya nini huyo refa

View attachment 1831106

Mashabiki wa Yanga ni Nyani au Mbwa wanabweka tu kupiga kelele hawajui mpira - Alisema aliyekuwa kocha wa Yanga Luc Eymael. 😁😁😁😁😁😁
 
Tazama mwenyewe picha ..

Sehemu ya kuweka ukuta refa anakubalije mechi ianze wakati ukuta bado anaelekeza pa kukaa..

Tazama morrison alipo.. tazama refa alipo na anafanya nini huyo refa

View attachment 1831106

Kaka ni goli halal.. sheria inasema yafuatayo

1. quick play inaruhusiwa kupigwa bila mpigaj kupata ruhusa ya Mwamuz..

2. Ukuta unaombwa na aliefanyiwa faulo sio matakwa ya Refa. unaweza ukajiuliza mpigaji anaombaje ukuta wakati ki uhalisia ukuta utampa distraction yeye mpigaji. atalazimika kuomba ukuta pale timu mpinzan atapokwenda kukaa karibu kabisa na mpira kuzui mpigaj asipige hapo mpigaj atalalamika kwa refa then refa ataamua kutumia kanun ya kuweka ukuta . maana yake mpinzan kamlazimisha mpigaj alalamike kwa refa.

3. Angalia refa alipopiga filimbi ya faulo.. ingekuwa ameonyesha mkono juu na kisha kwenye uelekeo wa Azam ile
ingekuwa ni direct kick.. ila alipuliza tu filimbi ya faulo maana yake haikuwa direct kwa maana mpira haupigwi moja kwa mona bila mpigaj kumpasia mchezaj wa pili.. lakin filimbi ya faulo peke yake bila direction maana mpigaj anaweza akapiga vyovyote hata angerudisha golin kwake

4. Azam walipaswa kuuzuia mpira wakat wanamfata mwamuz kulalamika ili kuwalazimisha simba nao walalamike mwamuz aamue kupanga ukuta. kitendo cha wao kumfata mwamuz kuwaacha Simba free ndo kosa lao.. hapo simba wametumia uzoefu.. na uhakika Azam wamejifunza hawatarudia kosa.
 
TFF ya sasa wajinga sana

Kila siku hawa marefa wafanya mafundu

Viwango vyakijinga usimba na uyanga

Wanaribu sana heshima ya TFF.
Tazama mwenyewe picha ..

Sehemu ya kuweka ukuta refa anakubalije mechi ianze wakati ukuta bado anaelekeza pa kukaa..

Tazama morrison alipo.. tazama refa alipo na anafanya nini huyo refa

View attachment 1831106
Dhahiri kabisa,refa hakuruhusu mpira.Goli kakubali.
Watakaa sana.
Mambo ya kisengerema haya! Soka letu halitokaa liendelee hasirani abadani..!!
1.Ukiangalia video refa hana uhakika mpira ulipigwa kutoka eneo gani
2. filimbi ilikua mkononi huo mpira kauanzia aje?
3 . Eneo alilo simama refa sio sahihi
Unaongea upumbavu

Hawa marefa wanasifa zipi kila siku ushenzi .....

Kama wanaviwango mbona hawapewi mechi za kimataifa.

Ushabiki wakipumbavu
View attachment 1831164
nimeona niiweke tena hii picha, ni ukuta upi ambao refa kasimama hapa? Huo mstari unauona? Ukuta upi unasimama pembeni kabisa ulipo mpira? Chama yuko karibu na mpira ila pembeni, refa yukonpbeni zaidi, huo mstari sijui uniona? Vaa miwani au weka utopolo pembeni utaona vizuri..
Huo mstari perpendicular na mstari wa kona sio mstari mmoja
Goli la tatu Simba vs Nkana miaka miwili nyuma , anafunga chama kwa Kisigizo akipokea pasi kutoka kwa Dilunga , goli ambalo liliwapeleka Simba group stage club bingwa

Yule refa n wawapi? Kuna ukutwa uliwekwa pale ? Kwann liliruhusiwa ??

Fualitien rede nao pia n mchezo
 
Back
Top Bottom