CAF sio wajinga kuwanyima marefa wa Tanzania mechi za CAF champions league

Tazama mwenyewe picha ..

Sehemu ya kuweka ukuta refa anakubalije mechi ianze wakati ukuta bado anaelekeza pa kukaa..

Tazama morrison alipo.. tazama refa alipo na anafanya nini huyo refa

View attachment 1831106
Sawia mkuu, angalia wote wanaohalalisha bao hilo ni shabiki wa Simba. Najiuliza kama ile mechi ya Simba na Kaizer Chiefs hapa kwa Morisson kujiangusha ili ipatikane penati kama refa angekuwa wa hapa dhahiri penati ingepigwa. Na hili goli kama ingekuwa mechi ya Simba na Yanga hapo ukuta ungepangwa, lakini Azam kwa kuwa waliisha jifanya wanyonge kwa Simba na Yanga basi wataendelea kuwa kichwa cha mwenda wazim.
 
Kaka ni goli halal.. sheria inasema yafuatayo

1. quick play inaruhusiwa kupigwa bila mpigaj kupata ruhusa ya Mwamuz..

2. Ukuta unaombwa na aliefanyiwa faulo sio matakwa ya Refa. unaweza ukajiuliza mpigaji anaombaje ukuta wakati ki uhalisia ukuta utampa distraction yeye mpigaji. atalazimika kuomba ukuta pale timu mpinzan atapokwenda kukaa karibu kabisa na mpira kuzui mpigaj asipige hapo mpigaj atalalamika kwa refa then refa ataamua kutumia kanun ya kuweka ukuta . maana yake mpinzan kamlazimisha mpigaj alalamike kwa refa.

3. Angalia refa alipopiga filimbi ya faulo.. ingekuwa ameonyesha mkono juu na kisha kwenye uelekeo wa Azam ile
ingekuwa ni direct kick.. ila alipuliza tu filimbi ya faulo maana yake haikuwa direct kwa maana mpira haupigwi moja kwa mona bila mpigaj kumpasia mchezaj wa pili.. lakin filimbi ya faulo peke yake bila direction maana mpigaj anaweza akapiga vyovyote hata angerudisha golin kwake

4. Azam walipaswa kuuzuia mpira wakat wanamfata mwamuz kulalamika ili kuwalazimisha simba nao walalamike mwamuz aamue kupanga ukuta. kitendo cha wao kumfata mwamuz kuwaacha Simba free ndo kosa lao.. hapo simba wametumia uzoefu.. na uhakika Azam wamejifunza hawatarudia kosa.
haha na hii ndio raha ya kucheza mechi za kimataifa
 
Maelezo kuntu kabisa ambaye hataelewa basi huyo anaweza hata kula kinyesi chake akijiaminisha kuwa hiyo ni keki.
 
Mashabiki wa Yanga wakati mwingine huwa mnanishangaza sana! Utakuta mnaongea msichomaanisha huku mkimaanisha msichokionge!
Mara tu baada ya Yanga kuwatoa Biashara United na kutinga Fainali ya kombe la shirikisho, haraka sana mkaanza tambo mkidai mnawataka Simba fainali na si timu nyingine! Sasa leo Simba kafuzu fainali kwa kuwatoa Azam, lakini cha kushangaza wanaolalamikia bao na ushondi wa Simba dhidi ya AZAM sio Azam bali ni Yanga! Hivi mnataka nini si mmeletewa mlomtaka!?? Hebu badirikeni vinginevyo mtabaki hapohapo miaka nendarudi!
 
Hayo yaliyofungwa mpira uliwekwa sehemu sahihi,huwezi ukaruhusu mpira uchezwe kwa kutouweka mpira sehemu sahihi
 
tuwekee na goli la tatu walilofungwa mwadui, mmekaa kufatilia mechi za Simba sasa tunakutana sijui mtakimbilia wapi na Morison huyohuyo atawaua ili mharakishe kesi yenu vizuri CAS
 
Back
Top Bottom