CAF sio wajinga kuwanyima marefa wa Tanzania mechi za CAF champions league

Tazama mwenyewe picha ..

Sehemu ya kuweka ukuta refa anakubalije mechi ianze wakati ukuta bado anaelekeza pa kukaa..

Tazama morrison alipo.. tazama refa alipo na anafanya nini huyo refa

View attachment 1831106
Sawia mkuu, angalia wote wanaohalalisha bao hilo ni shabiki wa Simba. Najiuliza kama ile mechi ya Simba na Kaizer Chiefs hapa kwa Morisson kujiangusha ili ipatikane penati kama refa angekuwa wa hapa dhahiri penati ingepigwa. Na hili goli kama ingekuwa mechi ya Simba na Yanga hapo ukuta ungepangwa, lakini Azam kwa kuwa waliisha jifanya wanyonge kwa Simba na Yanga basi wataendelea kuwa kichwa cha mwenda wazim.
 
haha na hii ndio raha ya kucheza mechi za kimataifa
 
Maelezo kuntu kabisa ambaye hataelewa basi huyo anaweza hata kula kinyesi chake akijiaminisha kuwa hiyo ni keki.
 
Mashabiki wa Yanga wakati mwingine huwa mnanishangaza sana! Utakuta mnaongea msichomaanisha huku mkimaanisha msichokionge!
Mara tu baada ya Yanga kuwatoa Biashara United na kutinga Fainali ya kombe la shirikisho, haraka sana mkaanza tambo mkidai mnawataka Simba fainali na si timu nyingine! Sasa leo Simba kafuzu fainali kwa kuwatoa Azam, lakini cha kushangaza wanaolalamikia bao na ushondi wa Simba dhidi ya AZAM sio Azam bali ni Yanga! Hivi mnataka nini si mmeletewa mlomtaka!?? Hebu badirikeni vinginevyo mtabaki hapohapo miaka nendarudi!
 
Hayo yaliyofungwa mpira uliwekwa sehemu sahihi,huwezi ukaruhusu mpira uchezwe kwa kutouweka mpira sehemu sahihi
 
tuwekee na goli la tatu walilofungwa mwadui, mmekaa kufatilia mechi za Simba sasa tunakutana sijui mtakimbilia wapi na Morison huyohuyo atawaua ili mharakishe kesi yenu vizuri CAS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…