Caf wajisogeza kwa simba

Caf wajisogeza kwa simba

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
19,057
Reaction score
39,387
Nani asiyeipenda simba ukiachana na wavuta bangi ?
Nenda kwa wanalamba lamba watakwambia simba baba lao
wanajeshi wa mpakani huwaambii kitu kwa mnyama

Sasa Caf wameanza kuisogelea simba
washajua simba ina mashabiki wengi sana
Na mpira unahitaji mashabiki tena mashabiki lia lia
Hivyo wameamua kukaa karibu nao wanajua ukitaka comment nyingi kwenye page zao za mitandao ya kijamii wanaiongelea simba

Uzuri wake simba haiongelewi kwa mabaya kama wachavuzi wa huku bongo hivyo wanapata wanachokitaka

Kuanzia sasa nakuendelea huwezi kukuta timu ngumu ikikutana na simba kwenye hatua za mwanzo

Mpira una fitina nje ya uwanja

wanajua mashabiki wakiruhusiwa wana uhakika wa mashabiki elfu sitini mechi tano hadi saba kila msimu

wanataka nn zaidi ya hela na simba ni hela

Usishangae kuona wachezaji wa simba katika kurasa za caf kila wanapotimiza miaka kadhaa

Ila kamwe hautakuta wadaka mishale wakiwa katika kurasa zao
wanakwambia kama anadaka mishale akapigane na Jumong huko

FB_IMG_1631605939061.jpg
 
Mnyama [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji2956][emoji881][emoji881][emoji881]
 
Ni hivi,
Kila timu huwa bora katika msimu ama misimu fulani hivyo hizo taasisi za kimichezo huwa karibu na hizo timu zinazofanya vizuri ili wawe na platfm kubwa zaid.

Msiwabeze wapinzani wenu kuwa hawana kitu,hapana ni kwamba hawajafanya vizuri kwa misimu mitatu mfululizo.
Angalia man u,sio kwamba ni timu mbovu au ndogo hapana ni timu yenye mafanikio ila kwa miaka kadha hawajapata mafanikio,ifike pahala vilabu vyetu viheshimiane.
Wanahabari na vyombo vyao wana mchango mkubwa kuharibu hizi timu iwe ni kwa mpango maalumu au lah.
 
Unapokuwa unaongelea yanga jitahidi kutumia mifano ya kagera na dodoma jiji
 
Ni hivi,
Kila timu huwa bora katika msimu ama misimu fulani hivyo hizo taasisi za kimichezo huwa karibu na hizo timu zinazofanya vizuri ili wawe na platfm kubwa zaid.

Msiwabeze wapinzani wenu kuwa hawana kitu,hapana ni kwamba hawajafanya vizuri kwa misimu mitatu mfululizo.
Angalia man u,sio kwamba ni timu mbovu au ndogo hapana ni timu yenye mafanikio ila kwa miaka kadha hawajapata mafanikio,ifike pahala vilabu vyetu viheshimiane.
Wanahabari na vyombo vyao wana mchango mkubwa kuharibu hizi timu iwe ni kwa mpango maalumu au lah.
Ni bora umuheshimu Biashara United ambae akipigwa VPL kimataifa anampiga mtu , sasa huyo msela anapigwa kotekote sasa unamuheshimu kwa kipi zaidi ya kuiletea nchi aibu.
Mwambie apunguze mdomo au kama vp wakaimbe taarab
 
Nani asiyeipenda simba ukiachana na wavuta bangi ?
Nenda kwa wanalamba lamba watakwambia simba baba lao
wanajeshi wa mpakani huwaambii kitu kwa mnyama

Sasa Caf wameanza kuisogelea simba
washajua simba ina mashabiki wengi sana
Na mpira unahitaji mashabiki tena mashabiki lia lia
Hivyo wameamua kukaa karibu nao wanajua ukitaka comment nyingi kwenye page zao za mitandao ya kijamii wanaiongelea simba

Uzuri wake simba haiongelewi kwa mabaya kama wachavuzi wa huku bongo hivyo wanapata wanachokitaka

Kuanzia sasa nakuendelea huwezi kukuta timu ngumu ikikutana na simba kwenye hatua za mwanzo

Mpira una fitina nje ya uwanja

wanajua mashabiki wakiruhusiwa wana uhakika wa mashabiki elfu sitini mechi tano hadi saba kila msimu

wanataka nn zaidi ya hela na simba ni hela

Usishangae kuona wachezaji wa simba katika kurasa za caf kila wanapotimiza miaka kadhaa

Ila kamwe hautakuta wadaka mishale wakiwa katika kurasa zao
wanakwambia kama anadaka mishale akapigane na Jumong huko

View attachment 1937053
Kwa hiyo Rivers timu inayoanzia mchangani kwenye caf champions league ni ngumu? Akkli ya utopolo wanaijua wenyewe!
 
Ni hivi,
Kila timu huwa bora katika msimu ama misimu fulani hivyo hizo taasisi za kimichezo huwa karibu na hizo timu zinazofanya vizuri ili wawe na platfm kubwa zaid.

Msiwabeze wapinzani wenu kuwa hawana kitu,hapana ni kwamba hawajafanya vizuri kwa misimu mitatu mfululizo.
Angalia man u,sio kwamba ni timu mbovu au ndogo hapana ni timu yenye mafanikio ila kwa miaka kadha hawajapata mafanikio,ifike pahala vilabu vyetu viheshimiane.
Wanahabari na vyombo vyao wana mchango mkubwa kuharibu hizi timu iwe ni kwa mpango maalumu au lah.
Kuhusu kubeza hayo ni maneno ya mashabiki tu,sasa kama Yanga inashindwa kufanya vizuri kwa sababu inabezwa na fans wa Simba huo ni ujinga wao.

Ukija kwa wana habari,nakubaliana na wewe lakini useme dhahiri wanachangia kuharibu Yanga,wanapewa hela na Yanga ili wafanye propaganda
 
Back
Top Bottom