Mbwichichi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 347
- 1,843
Watanzania tumeshazoea siasa kwenye mambo yetu kwahiyo hata inapokuja mambo ya msingi tunataka weka siasa.
Huu uwanja wa taifa ni kweli hauna sifa kutumika kwenye mechi kubwa kwa hali uliyonayo.
Kwenye hii mechi ya Simba na Masry ukweli kila mmoja anajionea.
Uhalisia wa pitch ni tofauti kabisa na picha alizopost msemaji mkuu wa serikali.