Mbwichichi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 347
- 1,843
Hela zinapigwa kibwege mno!Ufungiwe tu. CCM walisema unatengenezwa, hayo matengwnezo yalihusu nini?
Wakaguzi walikuwa sahihi, na wako sahihi.Halafu hela zilizopigwa ni balaa, tulipinga huo ujinga tukaitwa wapingaji
Yaani bila wizi mambo CCM hayaendi!Wakaguzi walikuwa sahihi, na wako sahihi.
Kwa bilioni 31Ufungiwe tu. CCM walisema unatengenezwa, hayo matengwnezo yalihusu nini?
Urefu wa KambaHela zinapigwa kibwege mno!
Zishapigwa hizo. Ndiyo wale wazee wa njaa hupewa!Kwa bilioni 31
Ila CCM πππWatanzania tumeshazoea siasa kwenye mambo yetu kwahiyo hata inapokuja mambo ya msingi tunataka weka siasa.
Huu uwanja wa taifa ni kweli hauna sifa kutumika kwenye mechi kubwa kwa hali uliyonayo.
Kwenye hii mechi ya Simba na Masry ukweli kila mmoja anajionea.
Uhalisia wa pitch ni tofauti kabisa na picha alizopost msemaji mkuu wa serikali.
Nchi ya wafu wanaoishiHalafu hela zilizopigwa ni balaa, tulipinga huo ujinga tukaitwa wapingaji