CAF wamteua Ahmed Arajiga kuchezesha robo fainali ya Ligi ya Mabingwa (CAFCL) kati ya Pyramids FC na FC FAR

CAF wamteua Ahmed Arajiga kuchezesha robo fainali ya Ligi ya Mabingwa (CAFCL) kati ya Pyramids FC na FC FAR

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limemteua mwamuzi wa Tanzania, Ahmed Arajiga, kuwa miongoni mwa waamuzi watakaosimamia mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Pyramids FC ya Misri na FC FAR ya Morocco.

Soma: Arajiga, Komba wachaguliwa kuchezesha CHAN 2025

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 1, 2025, kwenye Uwanja wa 30 June, Cairo, Misri. Uteuzi wa Arajiga unadhihirisha maendeleo ya waamuzi wa Tanzania katika medani ya soka barani Afrika.

Screenshot 2025-03-15 112951.png

1742025266011.png
 
Mganga wa hili macho kengeza aongezewe poaho, maana sio tapeli kabisa.

Baba silipendi hili, yaan had CAF wanaliteua lichezeshe match, bas ulozi wake umevuka mipaka.
Mxxxxxiiiiiieeeew.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Kwani anashida gani mbana ni Refa mzuri tu, hayo mengine ni chuki tu kama sio chuki nitajie Refa aliyekamilika 100% kwenye dunia hii tangu uujue mchezo wa mpira
 
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limemteua mwamuzi wa Tanzania, Ahmed Arajiga, kuwa miongoni mwa waamuzi watakaosimamia mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Pyramids FC ya Misri na FC FAR ya Morocco.

Soma: Arajiga, Komba wachaguliwa kuchezesha CHAN 2025

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 1, 2025, kwenye Uwanja wa 30 June, Cairo, Misri. Uteuzi wa Arajiga unadhihirisha maendeleo ya waamuzi wa Tanzania katika medani ya soka barani Afrika.

Hivi ni kwa nini referees wengi huwa wanapenda kuvaa jezi zenye rangi za Utopolo?
 
Juhudi binafsi si za maendeleo ya soka. Arajiga amezikataa hongo na maelekezo ya bodi ya ligi ndo maana yupo hapo alipo. Marefa wetu hasa tatu malogo,kayoko, na yule aliyechezesha namungo vs simba wafuate mfano wa mwamba arajiga. Mwenye kupinga apinge kwa hoja
 
Taarifa inayofichwa kwa makusudi ni kuwa kwenye hiyo mechi Arajiga atakuwa mwamuzi msaidizi (fourth official) na si mwamuzi wa kati, mwamuzi wa mchezo huo atakuwa Omar Artan kutoka Somalia,yaani hata Somalia wanatuzidi ubora wa waamuzi
 
Back
Top Bottom