Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limemteua mwamuzi wa Tanzania, Ahmed Arajiga, kuwa miongoni mwa waamuzi watakaosimamia mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Pyramids FC ya Misri na FC FAR ya Morocco.
Soma: Arajiga, Komba wachaguliwa kuchezesha CHAN 2025
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 1, 2025, kwenye Uwanja wa 30 June, Cairo, Misri. Uteuzi wa Arajiga unadhihirisha maendeleo ya waamuzi wa Tanzania katika medani ya soka barani Afrika.