CAF wanasema simba haijawah fika nusu fainal ya CAF Championship-ila wachambuzi wa mpira Tanzania wanasema alishawah fika

Acheni kuongozwa na Mjinga maana anawafanya wote muwe wajinga, hakuna aliekataa kuwa CAF ndio wamesema hivo

Actually CAF Wamesema hivo coz ni kweli Kwa sababu tangu mashindano yaanze kuitwa CAF champions League Simba hajafika nusu fainali, kabla hayajabadirishwa Jina ashafika

Ukiskia Madrid anaongoza Kwa kubeba makombe ya champions League unadhani wameanza kuhesabu kipindi yanaitwa Champions League au tangu kabla ya hapo?

Kwahiyo hapo zwazwa ni nyie msiotaka kuelewa na kuongozwa na mtu aliewaita huko mlipo wenye Akili timamu ni watu wawili tu, na bahati mbaya tangu aungane na nyie huko bado hajaongeza list ya wenye Akili timamu kwahiyo namba inaendelea kusalia ile ile ya Sunday na Kikwete
Unajua maana ya first time ever ungeelewa maana ya first time ever maana yake hamjawah in any occasion

Alafu manara anaingiaje habari atoe CAF lawama apelekewa manara si-uwendawazimu huo tumia akili mda mwingine

Hio habari ipo kwenye official account ya twitter ya CAF wala haina uhusiano na manara

Wa-DM Admin wa CAF wa account ya twitter mwambie amekosea na sio umtukane manara yeye sio admin kule unanyoonyesha jinsi ulivyo mjinga
 
Kwa hiyo Manara wa Simba unamkubali lkn Manara wa Yanga unamkataa?
Mkuu sidhani kama umenielewa, sijawahi kufungamana na Manara wa pande zote mbili, Manara ana tabia ya kutumia utani/chuki ambazo wanazo upande wa Simba na Yanga

Maana yake akiwa Simba atatumia mbinu zile zile ambazo anazotumia leo akiwa Yanga, kwahiyo kama mtu ni mpenda porojo atafurahia Kwa sababu inasemwa team pinzani

Manara kuna muda anajua kabisa anasema uongo ila kwakuwa anajua fika kuwa kuna kundi kubwa la wajinga nyuma yake watamsapoti basi anakaa anatikisa miguu anawaangalia vile mnabishana kama wapumbavu

Hii mada ilikuwa rahisi sana kama endapo tu Manara asingeingilia Kati, inakera sana kuona watu na Akili zao timamu tunakuwa tunayumbishwa na mtu ambae anafanya marejeo ya alichokuwa anafanya kila siku
 
Unajua maana ya first time ever ungeelewa maana ya first time ever maana yake hamjawah in any occasion

Alafu manara anaingiaje habari atoe CAF lawama apelekewa manara si-uwendawazimu huo tumia akili mda mwingine

Hio habari ipo kwenye official account ya twitter ya CAF wala haina uhusiano na manara

Wa-DM Admin wa CAF wa account ya twitter mwambie amekosea na sio umtukane manara yeye sio admin kule unanyoonyesha jinsi ulivyo mjinga
Umeshinda Mkuu
 
Mkuu sidhani kama umenielewa, sijawahi kufungamana na Manara wa pande zote mbili, Manara ana tabia ya kutumia utani/chuki ambazo wanazo upande wa Simba na Yanga

Maana yake akiwa Simba atatumia mbinu zile zile ambazo anazotumia leo akiwa Yanga, kwahiyo kama mtu ni mpenda porojo atafurahia Kwa sababu inasemwa team pinzani

Manara kuna muda anajua kabisa anasema uongo ila kwakuwa anajua fika kuwa kuna kundi kubwa la wajinga nyuma yake watamsapoti basi anakaa anatikisa miguu anawaangalia vile mnabishana kama wapumbavu

Hii mada ilikuwa rahisi sana kama endapo tu Manara asingeingilia Kati, inakera sana kuona watu na Akili zao timamu tunakuwa tunayumbishwa na mtu ambae anafanya marejeo ya alichokuwa anafanya kila siku
Habari watoe CAF lawama apelekewe manara ila Tanzania kuna vituko sana
 
Umeshinda Mkuu
Sio kushinda huelewei habari ametoa CAF hata mleta uzi amesema kabisa msimlaumu yeye walaumu CAF alafu na uthibitisho kabisa unaona kabisa habari imetoka kwenye account ya CAF ya twitter

CAF wasingesema first time ever haya yote yasingetokea tatizo lilianza waliposema first time ever hapo ndo maswali yalipoanza kuwa raised before hii habari ya CAF hakuna mtu aliyekuwa ana bisha kwamba simba hajafika nusu fainal ya CAF championship mwaka 1974 ila neno first time ever lime-raise a lot of question
 
Mkuu tumeshindwana tu kuelewana, me siwezi kumlaumu Admin wa CAF ilhali nimemuelewa

Hapo nyuma nilitolea mfano kuwa ukikuta zinaongelewa team ambazo zimewahi kutwaa ubingwa wa English Premier League (EPL) huwezi kuiona Totenham

ila ukikuta wanaongelea team ambazo zimewahi kushinda kombe la first division League basi Totenham utamkuta hapo, kwahiyo issue ni majina yaliyotumika Kwa wakati husika

Kwahiyo Totenham haijawahi kushinda kombe la EPL na kama ikitokea itakuwa ni first time ever, ila ukiongelea team ambazo zimewahi kushinda kombe la league England ameshinda

Ndomana nikasema umeshinda, ila kama neno umeshinda halijakufurahisha basi naomba nitumie neno "Nimeshindwa"
 
Ukitaka kujua kwanini wanaitwa mbumbumbu au makolo basi soma comment zao
 
Ukisoma hapa huyu admin anasema first ever akimaanisha kwamba hawajawah fika, ila wachambuzi wa mpira Tanzania wanasema alishawah fika 1974 sasa tumwamin nani kati ya CAF au wachambuzi lia lia wa Tanzania

Mashabiki wa simba matusi yenu pelekeni tu CAF mim tu nimeleta habari nikiambatanisha na risit
Km admin nae Ni popoma km wewe umejuaje.

Kwani kwenye page na rekodi za CAF kunasemaje.
 
Kwa wewe unajua kuliko admin wa CAF peleka cv wakuajiri waambie unajua historia kuliko huyo admin wa sasa lazima wakuajiri changamkia fulsa
 
Kombe Gani!?

1)La CL!?

2)La CC!?

3)La CAF CUP!

Kwenye hiyo profile sijaona wakizungumzia kombe la CAF cup kama ni moja ya mafanikio yao. Ila wamezungumzia Africa cup of champions club na African cup winner's cup
Daaah...!!Unajua kusoma vizuri kweli...?Embu angalia maneno later known as CAF Champions league ili ujue ufahamu wako upo vipi.!!Nakumbuka maneno ya Manara kuhusu mashabiki Wa Dar Young Africans(Sio Yanga kama ambavyo wajinga wanavyoita)Wengi wao ni Hamnazo..!!
 
Habari watoe CAF lawama apelekewe manara ila Tanzania kuna vituko sana
Mkuu mnajitoa Akili tu kutomuhusisha Manara na hii issue ila ukweli upo wazi sana,

CAF wamepost hii habari kwenye kurasa zao za IG na Twitter tangu trh 5 April ila kulikuwa hakuna mtu yoyote aliehoji hio issue hadi Juzi Manara alipoongelea

Manara ametoa video inaongelea kuhusu hiyo issue majuzi, na Jana kapost kwenye IG yake, na Uzi wetu umeanzishwa jana kwahiyo huitaji degree ya Ujinga kuwa huu Uzi umeanzishwa baada ya Manara kuongelea hii kitu

Kwahiyo ni wazi kuwa Manara ndio anapangia watu nini cha kuongelea na kwa wakati gani Kwa sababu anajua Akili za watu anaowaendesha

Kwamba tangu April 5 mlikuwa hamjaona post ya CAF huko Twitter ili mlete huu mjadara? Yani zimepita siku 20 mpo kimyaaa, ila kaibuka Manara nanyie ndio mnajitokeza, Tukisema kuwa mnaongozwa na Akili za Manara tutakosea?

bado me nalia na watu wenye Akili timamu kuongozwa na Mjinga kama Manara, mtu ambae yupo kama kinyonga, aliyosema jana leo anayakana na atakayosema leo analazimisha ndio ilivo
 
kwani timu zilizocheza club bingwa nusu fainali 1974 si zinapatikana kwenye mtandao? au mashindano hayakufanyika?
 
Mkuu mnajitoa Akili tu kutomuhusisha Manara na hii issue ila ukweli upo wazi sana,

CAF wamepost hii habari kwenye kurasa zao za IG na Twitter tangu trh 5 April ila kulikuwa hakuna mtu yoyote aliehoji hio issue hadi Juzi Manara alipoongelea

Manara ametoa video inaongelea kuhusu hiyo issue majuzi, na Jana kapost kwenye IG yake, na Uzi wetu umeanzishwa jana kwahiyo huitaji degree ya Ujinga kuwa huu Uzi umeanzishwa baada ya Manara kuongelea hii kitu

Kwahiyo ni wazi kuwa Manara ndio anapangia watu nini cha kuongelea na kwa wakati gani Kwa sababu anajua Akili za watu anaowaendesha

Kwamba tangu April 5 mlikuwa hamjaona post ya CAF huko Twitter ili mlete huu mjadara? Yani zimepita siku 20 mpo kimyaaa, ila kaibuka Manara nanyie ndio mnajitokeza, Tukisema kuwa mnaongozwa na Akili za Manara tutakosea?

bado me nalia na watu wenye Akili timamu kuongozwa na Mjinga kama Manara, mtu ambae yupo kama kinyonga, aliyosema jana leo anayakana na atakayosema leo analazimisha ndio ilivo
Umekosa kazi za kufanya mpka uanze kulia lia
 
Labda uzi huu wa hapo chini niliouleta April 6 uliwapita baadhi ya watu au kuna watu walijifanya hawauoni, niliongelea hiyo twit ya CAF.

Simba ilishawahi kucheza Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika

Nadhani Admin wa account ya CAF alipitiwa tu ila website ya CAF inaonyesha taarifa rasmi ya kuwa Simba alicheza nusu fainali mwaka 1974 na hii ni public knowledge kwa wengi wanafuatilia mpira wa nchi hii.
 
Back
Top Bottom