Kabisa mkuu ....yupo well informedAdmin wa CAF naona anaelewa mambo yanayotrend bongo
We falla sana😂😂[emoji2957]Kumbe CAF wanetu kabisa Hawa yaani "We Simon Msuva umepigaje hapo [emoji16][emoji2957].
Hii ni Baada ya msuva kuruka soti ( kavu in nyakyusa) ya kwenda juu nyuzi 368°
Huyu admin wa CAF apewe maua yake .... Coz inaonekana anafuatilia trending za TZ
Mwaka Jana alipost slogan ya king kiba " Sisi ni people"View attachment 2879627
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Imagine Zambia wapo pungufu ...ila wanatupelekea [emoji91][emoji91] balaaYaani timu yetu ya taifa ndo inatuangusha angalau tungekua na kikosi kama cha Kongo Africa nzima tungewachezesha singeli tunavyotaka!!!
Bora Zambia walivyotupelekea moto la sivyo leo ingekuwa nani kama mama. Hakuna kama Mama. Mama kaipa ushindi Taofa Stars.Imagine Zambia wapo pungufu ...ila wanatupelekea [emoji91][emoji91] balaa
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Admin wa CAF huwa anafanya mawasiliano na Media Officer wa TFF au Shirikisho lolote la soka na kumuuliza baadhi ya taarifa ili azitumie kunogesha kwenye content za page ya CAF[emoji2957]Kumbe CAF wanetu kabisa Hawa yaani "We Simon Msuva umepigaje hapo [emoji16][emoji2957].
Hii ni Baada ya msuva kuruka soti ( kavu in nyakyusa) ya kwenda juu nyuzi 368°
Huyu admin wa CAF apewe maua yake .... Coz inaonekana anafuatilia trending za TZ
Mwaka Jana alipost slogan ya king kiba " Sisi ni people"View attachment 2879627
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mkuu ko huoni mchango wa maza kwenye football yetuBora Zambia walivyotupelekea moto la sivyo leo ingekuwa nani kama mama. Hakuna kama Mama. Mama kaipa ushindi Taofa Stars.
Hapana mkuu.... huwezi kimbia ur realityToa hiyo signature ya simu yako mkuu
Ahaa kumbe!!Admin wa CAF huwa anafanya mawasiliano na Media Officer wa TFF au Shirikisho lolote la soka na kumuuliza baadhi ya taarifa ili azitumie kunogesha kwenye content za page ya CAF
Admini wa CAF ni MANARA
Mchango gani? Acha upuuzi wewe.Mkuu ko huoni mchango wa maza kwenye football yetu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kuwa mzalendo [emoji23][emoji23]Ndo mafaniko yetuuu Afcon
#Mechi ya Tz Vs Congo Mayele akianza nawahama kichwa Cha mwendawazimu
Admin wa CAF huwa anafanya mawasiliano na Media Officer wa TFF au Shirikisho lolote la soka na kumuuliza baadhi ya taarifa ili azitumie kunogesha kwenye content za page ya CAF