Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
[emoji2957]Kumbe CAF wanetu kabisa Hawa yaani "We Simon Msuva umepigaje hapo [emoji16][emoji2957].
Hii ni Baada ya msuva kuruka soti ( kavu in nyakyusa) ya kwenda juu nyuzi 368°
Huyu admin wa CAF apewe maua yake .... Coz inaonekana anafuatilia trending za TZ
Mwaka Jana alipost slogan ya king kiba " Sisi ni people"