Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limefungia Uwanja wa Benjamini Mkapa kutotumika kwa kile kilichoelezwa umeharibika eneo la kuchezea (pitch) na sasa utafungwa kwa mwezi mmoja kupisha marekebisho.
Source: Mwanaspoti
======
Taarifa hii imefanyiwa kazi kwenye jukwaa la Jamii Check, soma: KWELI - Uwanja wa Mkapa kufungwa kwa muda baada ya CAF kushauri uboreshwe
Source: Mwanaspoti
======
Taarifa hii imefanyiwa kazi kwenye jukwaa la Jamii Check, soma: KWELI - Uwanja wa Mkapa kufungwa kwa muda baada ya CAF kushauri uboreshwe