CAF Yaitaja simba kuwa klabu namba 5 kwa utajiri barani afrika

CAF Yaitaja simba kuwa klabu namba 5 kwa utajiri barani afrika

Kuna mambumbumbu wameamini hili na kupigia makofi[emoji16][emoji23][emoji16][emoji23]
 
Klabu ya Simba SC ya jijini Dar es salaam imetajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuwa klabu namba 5 kwa utajiri Barani Afrika.

Simba SC imetajwa kuwa na utajiri wa karibu Paund milioni 10.35 ambayo ni sawa na Bilioni 32.3 kwa shilingi ya Tanzania.

Katika orodha hiyo Al Ahly kutoka Misri inaongoza ikiwa na utajiri wa Paund milioni 19.25 ikifuatiwa naEsperance Sportive de Tunis 12.75M na Club Africain 11. 8M zote kutoka Tunisia.
Ya nne Kaizer Chiefs ya kutoka nchini Afrika Kusini ambayo yenyewe inatajiri karibu Paund milioni 10.48.

Klabu tajiri zaidi Barani Afrika
Chanzo: MwanaspotiApp
then what
 
Tayar uneshathibitisha umbumbu wako tayar, klabu ya tano kwa utajiri hata kiwanja Cha mazoezi hakuna, basi Kama ni kwel vilabu vya afrika vina Hali mbaya Sana kiuchumi aisee, kwa mwendo huu mpira wa Africa hautokaa ukue hata siku moja, ndio maana Hadi kwenye kombe la dunia Kila siku tunawasindikiza wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unajua Ac and Milan iliwahi kuwa club tajiri lkn hadi Leo hawana viwanja. Elimika kuna vigezo vingi wanaangalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Klabu ya Simba SC ya jijini Dar es salaam imetajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuwa klabu namba 5 kwa utajiri Barani Afrika.

Simba SC imetajwa kuwa na utajiri wa karibu Paund milioni 10.35 ambayo ni sawa na Bilioni 32.3 kwa shilingi ya Tanzania.

Katika orodha hiyo Al Ahly kutoka Misri inaongoza ikiwa na utajiri wa Paund milioni 19.25 ikifuatiwa naEsperance Sportive de Tunis 12.75M na Club Africain 11. 8M zote kutoka Tunisia.
Ya nne Kaizer Chiefs ya kutoka nchini Afrika Kusini ambayo yenyewe inatajiri karibu Paund milioni 10.48.

Klabu tajiri zaidi Barani Afrika
Chanzo: MwanaspotiApp
This ithi thimba
 
Mie mshabiki wa simba lakini sishabikii upuuzi. Huo utajiri wa simba upon kwenye nini?. Simba INA kitega uchumi kipi zaidi ya lile jengo LA kariakoo ambalo thamani yake haizidi mil 500?. Tuache ushabiki maandazi. Angalau Singida United wanamilili Mashamba ya Alizeti. Kwa umri wa simba, ilipaswa imiliki mabasi ya mwendokasi, boti za kwenda zenji wanda vya vifaa vya michezo, Msimbazi centre, mabasi ya mikoani mfano Simba luxury coach, chuo kikuu cha michezo( Simba University of Sports and Games),_Shule na hospitali. Simba international school and Simba Medical centre.
Una upeo Mkubwa sana tuachen ushabik wa mambo ya kijinga simba na yanga hazina asset yeyote, Leo hii mo akijitoa simba inarudi kule kule Kwa Yanga
 
Back
Top Bottom