CAF yamteua Chama kuingia kwenye kinyang'anyiro cha mchezaji bora wa wiki

Qatif

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2014
Posts
379
Reaction score
860
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemteua Kiungo wa Simba SC Clatous Chama kuwa miongoni wa wachezaji wanne ambao wapo kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kuwa mchezaji bora wa wiki kwa round ya 4 kwenye michuano ya Kimataifa ya Klabu Bingwa Afrika

1. Ahmed zizo/ Zamalek

2. Clatous Chama/ Simba SC

3. Peter Shalulile/ Mamelody

4. Walid Sabbar / Raja Casablanca

 
Chama alikuwa afunge goli ambalo labda lingekuja kushinda kama goli bora la CAF kwenye ile move aliyompiga chenga kipa na beki akawa pembeni ya lango. Angeongeza udambwi dambwi pale akampiga kipa kanzu ili kurudi ndani halafu akafunga, tungefunga mahesabu ya goli la msimu.
 
Acha wivu. Nasikia wenyeviti wote wa matawi mmeambiwa mkaroge ili mshinde Jpili [emoji28][emoji23][emoji28]
Imagine mna kombe la Manzoki, kombe la Chama , kombe la Inonga kuitwa timu ya Taifa, kombe la kuingia top ten what a great year
 
Kwani Playstation ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…