ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
mme equalise? bado mnakombe la Feisal what a wonderful seasonKama nyie mlivyo na kombe la Musonda kutoka kwa mtoto wa miaka 8
Hatujamalithaaaaamme equalise? bado mnakombe la Feisal what a wonderful season
๐ ๐ ๐ Safu nzima ya ulinzi walishachanganyikiwa pale, walikuwa wanaona maluweluwe tu. Chama hata angetaka kumnawisha au kumfanya beki ajifunge pale angeweza ila lingepunguza ubora wa goli.Kwani Playstation ile
Watakuambia Lete trusted source..hawa jamaaUto watakuja na makasiriko hpa
[emoji23][emoji23][emoji23]Mwaka huu mna makombe mengi sana hongera kwa mwenyekiti Mangungu
Safi sana. Anastahili.Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemteua Kiungo wa Simba SC Clatous Chama kuwa miongoni wa wachezaji wanne ambao wapo kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kuwa mchezaji bora wa wiki kwa round ya 4 kwenye michuano ya Kimataifa ya Klabu Bingwa Afrika
1. Ahmed zizo/ Zamalek
2. Clatous Chama/ Simba SC
3. Peter Shalulile/ Mamelody
4. Walid Sabbar / Raja Casablanca
View attachment 2549561
Tunashinda. Tuko over 60%
Tangu Ruto awafundishe neno makasiriko hatupumui!Uto watakuja na makasiriko hpa
Unajitekenya na kucheka mwenyewe.Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemteua Kiungo wa Simba SC Clatous Chama kuwa miongoni wa wachezaji wanne ambao wapo kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kuwa mchezaji bora wa wiki kwa round ya 4 kwenye michuano ya Kimataifa ya Klabu Bingwa Afrika
1. Ahmed zizo/ Zamalek
2. Clatous Chama/ Simba SC
3. Peter Shalulile/ Mamelody
4. Walid Sabbar / Raja Casablanca
View attachment 2549561
Wivu wa kike kabisa huu,take it easy mkuuMwaka huu mna makombe mengi sana hongera kwa mwenyekiti Mangungu
Labda ashinde na njaa! Kama ni kushinda kwa njaa,Lazima Ashinde.
Chama Lazima Ashinde.
Ni Lazima.
Hawezi kupenya kwa kwa mwamba wa Mamelodi muda wote anachomekea.Chama anachukua hiyo. Asiache kutumia kile alichotumia siku ile maana alikuwa na energy siyo ya nji hii.
Wivu gani nmepongeza acha nongwaWivu wa kike kabisa huu,take it easy mkuu