CAF yamteua Chama kuingia kwenye kinyang'anyiro cha mchezaji bora wa wiki

CAF yamteua Chama kuingia kwenye kinyang'anyiro cha mchezaji bora wa wiki

Kwani Playstation ile
😅 😅 😅 Safu nzima ya ulinzi walishachanganyikiwa pale, walikuwa wanaona maluweluwe tu. Chama hata angetaka kumnawisha au kumfanya beki ajifunge pale angeweza ila lingepunguza ubora wa goli.
 
1678742435750.png
 
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemteua Kiungo wa Simba SC Clatous Chama kuwa miongoni wa wachezaji wanne ambao wapo kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kuwa mchezaji bora wa wiki kwa round ya 4 kwenye michuano ya Kimataifa ya Klabu Bingwa Afrika

1. Ahmed zizo/ Zamalek

2. Clatous Chama/ Simba SC

3. Peter Shalulile/ Mamelody

4. Walid Sabbar / Raja Casablanca

View attachment 2549561
Safi sana. Anastahili.
 
Hao ndo wa kufananishwa nae sasa, sio jitu kuuutwa linatema mimate tu,,
 
Chama anachukua hiyo. Asiache kutumia kile alichotumia siku ile maana alikuwa na energy siyo ya nji hii.
 
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemteua Kiungo wa Simba SC Clatous Chama kuwa miongoni wa wachezaji wanne ambao wapo kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kuwa mchezaji bora wa wiki kwa round ya 4 kwenye michuano ya Kimataifa ya Klabu Bingwa Afrika

1. Ahmed zizo/ Zamalek

2. Clatous Chama/ Simba SC

3. Peter Shalulile/ Mamelody

4. Walid Sabbar / Raja Casablanca

View attachment 2549561
Unajitekenya na kucheka mwenyewe.
 
Chama anachukua hiyo. Asiache kutumia kile alichotumia siku ile maana alikuwa na energy siyo ya nji hii.
Hawezi kupenya kwa kwa mwamba wa Mamelodi muda wote anachomekea.
 
Back
Top Bottom