CAF: Yanga imekufa kiume lakini Simba imeuawa na wanaume.

CAF: Yanga imekufa kiume lakini Simba imeuawa na wanaume.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Wakati Simba ikiwa imeuawa na wanaume Yanga imeonyesha maana halisi ya kufa kiume. Simba wamefia uvunguni mwa kitanda wakati Yanga imefia juu ya kitanda.
 
mbon mnabadilika tena wakati nyie wenyewe ndo mlijisema mmekufa kiume,msitupangie kufa sisi ni washindi wa pili nyie ndo mlikufa
 
1900fc73-440f-4c99-9f3c-d7b53724b4ad.jpg
 
Wakati Simba ikiwa imeuawa na wanaume Yanga imeonyesha maana halisi ya kufa kiume. Simba wamefia uvunguni mwa kitanda wakati Yanga imefia juu ya kitanda.
Kwa hiyo hapo Wana utopolo minara yenu haisomi.!?
 
Back
Top Bottom