Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), limeruhusu mashabiki 60,000 kuingia kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia mtanange, hatua ya Robo Fainali kati ya Simba SC kutoka mitaa ya Msimbazi Jiji Dar es salaam, dhidi ya Orlando Pirates kutoka Afrika Kusini.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Jumapili ya April 17, 2022 majira ya saa 1:00 Usiku, utakuwa mchezo wa kwanza Nchini Tanzania kuchezwa kwa kutumika Teknolojia ya Video Assistant Referee-VAR.
Kulipewa Mwana Kulitaka Mwana