Nashindwa kuelewa hili swala la VAR sijui mnadhani ni kwa simba Sc pekee? Naona mnatafuta sababu ionekane kamba zimekuja hizi VAR kwaajili ya kuwakomoa Simba Sc na kuwa neemesha watu fulani.
CAF ilisha weka mpango wa kutumia hizi VAR kwenye mashindano mbalimbali ya AFRICA na hata fainali za CAFCL msimu uliopita waliitumia, AFCON wametumia.
Hili swala la VAR ni kwa mashindano yote ya CAFCC na CAFCL, namaanisha team zote zilizoingia robo fainali mpaka fainali zitatumia VAR na sio kwamba zimeletwa kawaajili ya Simba Sc pekee.
NB; Muwe mnafatilia habari.