CAF yaruhusu mashabiki 60,000 Uwanja wa Mkapa, mechi ya Simba dhidi ya Orlando Pirates

CAF yaruhusu mashabiki 60,000 Uwanja wa Mkapa, mechi ya Simba dhidi ya Orlando Pirates

Duh VAR ina faida na hasara zake!
 
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), limeruhusu mashabiki 60,000 kuingia kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo wa Hatua ya Robo fainali kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates kutoka Afrika Kusini.

Mchezo huo utakaopigwa Jumapili ya April 17, 2022 majira ya saa 1:00 Usiku, utakuwa mchezo wa kwanza Nchini Tanzania kuchezwa kwa kutumika Teknolojia ya VAR.

Kulipewa Mwana Kulitaka Mwana
Kiingilio iwe buku mbili ili uwanja ujae
 
Simba watafungwa Simba huwa ni timu mbovu sana......
wakitaka kujirekebisha walau walete upinzani kidogo warudi kusahihisha makosa waliyofanya kwenye mechi ya Berkane na Asec
 
Back
Top Bottom