MUONDOE YANGA SC HARAKA SANA.....Mchawi wa soka la Tanzania ni TFF,Simba na Yanga. Msiniulize kwanini
Kama tuliwatoa ulimi Nigeria, Cameroon, Bukinafaso Nk Cape Verde tutavaana nao tu. Hapo tujikaze kwa Uganda kwani anajua udhaifu kwetu. Hakika timu ikiandaliwa vizuri, tunapita hapo.Unaijua Cape verde vizuri??
sidhani kama tutakuja kupata kundi jepesi kama hiliNaunga mkono kabisa tangia nifuatilie historia hili ni kundi kwa Tanzania tukijipanga tunapita. Tusipopita hapa sijui nitumie lugha???? Kundi hili jamani ni nafasi. Pointi 9 nyumbani sare 2 ugenini saaafi hao kwenye luninga. Tusipopita hapo tuachane na soka na shrikisho lifutwe na tuwekeze kwenye mchezo wa bao na kubishana. Viwanja vya mpira virudishwe malls za biashara.
timu ngumu zinafahamika lakini siyo hizo tukijipanga vizuri zote hizo tutazipiga hapa nyumbani sijui Mungu atupe nini jamani yaani hawajatupanga na waarabu,nigeria,cameroni wametupanga vilaza watupu came on taifa starsUganda&cape Verde visiki hivyo
Inapita moja labda wapili apate bahati ya best looser, na kwa mazingira yalivyo kama itatokea bahati kundi hili wakapita wawili basi ni uganda na verdeHapo inavuka team moja au mbili?
Kwani nini.Tusipoenda Afcon 2019, basi TFF ivunjwe iundwe TSF ( Tanzani a Singeli Federation) ili tuendelee na mambo mengine. Ila tukikosa tushukuru pia, kwa mfano tupo Afcon halafu unacheza na Cameroon ambaye kapigwa bao 3 na Misri, hebu vuta picha
Tafadhal blaza nataka nitengeneze kibubu cha kuweka pesa niende hizo afcon 2019 nikamshuhudie samata hivi zitafanyika wapHahahaha Mkuu ndio kwanza wameanza..Morocco,egypt na libya bado hawajacheza
Utakumbuka maneno yangu haya
Algeria-Egypt final
Egypt bingwa..
Kila la heri egypt...
Zitafanyika Cameroon tu hapo na kwa nauli ya basi ukianzia Tunduma au Kigoma ni laki moja na sabini tu mpaka younde....na kwa hapa uhamiaji tunatoa pasipoti ya muda mfupi kwa nchi za afrika ya kati kwa shilingi elfu 10000 tu......naamini utaenda Cameroon 2019Kwakweli sifahamu kamanda wangu..mimi na kibubu mbali muno...wapo wataalamu humu watakusaidia jibu...ahsante
Hawajui.!Unaijua Cape verde vizuri??