Haya soma hiyo PDF mamdogo... na mnaanza na PETRO LUANDA YA ANGOLA [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment ykzpri1vwewnadrj3byd.pdfLete utbibitisho hapa, kwani unadhani ukitumia lugha ya kuudhi, nitaudhika?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeeh.
Hasira za kutobolewa jana, unaleta kwangu inahuuu??
Byuti byuti.
Wadogo zake FC Libol*.Haya soma hiyo PDF mamdogo... na mnaanza na PETRO LUANDA YA ANGOLA [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2317425
Azam Anaingia direct[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Saaa why simba anachezaa????Round ya awali hatocheza ila ataanzia round ya kwanza Cafcc, akifuzu hapo anaingia round ya pili (ambapo hukutana na wale waliotolewa CAFcl first round)
kisha akiwin ndipo anaingia group stage
Na mimi nimeona nikaanza kujiuliza hawa jamaa walikuwa wanajisifu sana kwamba awaanzii chekechea sasa sijui imekuwaje, azam kwenye shirikisho anaanzia hatua inayofuata na sio ya awaliKupitia tovuti rasmi yao
CAF wamethibitisha kuwa mabingwa watetezi wa kombe la CAFCL simba sc, wataanza round ya awali sawa na team ndogo yanga.
My take nadhani CAF wamehongwa sio bure.
Mo dewji akashtaki fifa,huu ni uonevu, .
Simba ataanzia robo fainali bhana, ni lidude likubwaaa[emoji16]Lete utbibitisho hapa, kwani unadhani ukitumia lugha ya kuudhi, nitaudhika?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeeh.
Hasira za kutobolewa jana, unaleta kwangu inahuuu??
Byuti byuti.
Hahahah ndio kuporomoka hukoNa mimi nimeona nikaanza kujiuliza hawa jamaa walikuwa wanajisifu sana kwamba awaanzii chekechea sasa sijui imekuwaje, azam kwenye shirikisho anaanzia hatua inayofuata na sio ya awali
Saaa why simba anachezaa????
Kumbe mlilijua hilo lakini bangi za ukubwani zilikuwa zinawatoa ufahamu kudanganya wasiojielewaSimba ktk rank ya Vilabu bora CAF yupo nafasi ya 14, wanaopewa favour kuanzia round ya kwanza ni zile zilizopo top 10,,, hvyo Simba kaikosa favour hiyo
Ila kama mwaka jana Simba angefuzu kwa kumtoa Jwaneng Galaxy basi angevuna points nyingi na zingemfanya awe ktk top 10 ya CAF club ranking, hvyo msimu huu angeanzia round ya kwanza sio preliminary
Kwa upande wa Azam favour hiyo imemuangukia kwasababu kuna baadhi ya Vilabu vitashindwa kushiriki Cafcc hatua ya awali kutokana na changamoto mbalimbali either za kifedha au sababu nyngnezo ndio maana ukiangalia jedwali la timu zitakazoshiriki CAFcl nchi zote zimeweka timu zao ila ktk jedwali la timu za Cafcc kuna baadhi ya nchi hazina timu
Sasa huyu cocastic anabisha nini tena?Simba ktk rank ya Vilabu bora CAF yupo nafasi ya 14, wanaopewa favour kuanzia round ya kwanza ni zile zilizopo top 10,,, hvyo Simba kaikosa favour hiyo
Ila kama mwaka jana Simba angefuzu kwa kumtoa Jwaneng Galaxy basi angevuna points nyingi na zingemfanya awe ktk top 10 ya CAF club ranking, hvyo msimu huu angeanzia round ya kwanza sio preliminary
Kwa upande wa Azam favour hiyo imemuangukia kwasababu kuna baadhi ya Vilabu vitashindwa kushiriki Cafcc hatua ya awali kutokana na changamoto mbalimbali either za kifedha au sababu nyngnezo ndio maana ukiangalia jedwali la timu zitakazoshiriki CAFcl nchi zote zimeweka timu zao ila ktk jedwali la timu za Cafcc kuna baadhi ya nchi hazina timu
Nimeona shougaaaaa angu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya soma hiyo PDF mamdogo... na mnaanza na PETRO LUANDA YA ANGOLA [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 2317425
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana chezeaaa.
Wee hadi zamalek anaanzia preliminary stage, je naye points hazimbebi na akat yuko ktk top 10.Simba ktk rank ya Vilabu bora CAF yupo nafasi ya 14, wanaopewa favour kuanzia round ya kwanza ni zile zilizopo top 10,,, hvyo Simba kaikosa favour hiyo
Ila kama mwaka jana Simba angefuzu kwa kumtoa Jwaneng Galaxy basi angevuna points nyingi na zingemfanya awe ktk top 10 ya CAF club ranking, hvyo msimu huu angeanzia round ya kwanza sio preliminary
Kwa upande wa Azam favour hiyo imemuangukia kwasababu kuna baadhi ya Vilabu vitashindwa kushiriki Cafcc hatua ya awali kutokana na changamoto mbalimbali either za kifedha au sababu nyngnezo ndio maana ukiangalia jedwali la timu zitakazoshiriki CAFcl nchi zote zimeweka timu zao ila ktk jedwali la timu za Cafcc kuna baadhi ya nchi hazina timu
Al ahly kamaliza ligi wa tatu kisheria ilibidi aende shirikisho je wajua nini kimetokea huko cafKupitia tovuti rasmi yao
CAF wamethibitisha kuwa mabingwa watetezi wa kombe la CAFCL simba sc, wataanza round ya awali sawa na team ndogo yanga.
My take nadhani CAF wamehongwa sio bure.
Mo dewji akashtaki fifa,huu ni uonevu, .
Hakika nashangaa CAF wanatuhujumu wazi wazi na kumpa nafasi azamSimba ni lidude fulani li kuuuubwa sana
Hatuna cha kukusaidia nenda kawashtaki CAF basi ππWee hadi zamalek anaanzia preliminary stage, je naye points hazimbebi na akat yuko ktk top 10.
Cheki hapa. View attachment 2317462
Mimi nilileta taarifa tu sasa unaniuliza mimi nimekuwa CAF?πAl ahly kamaliza ligi wa tatu kisheria ilibidi aende shirikisho je wajua nini kimetokea huko caf