CAF yathibitisha simba kuanza hatua ya awali klabu bingwa

Azam Anaingia direct[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Round ya awali hatocheza ila ataanzia round ya kwanza Cafcc, akifuzu hapo anaingia round ya pili (ambapo hukutana na wale waliotolewa CAFcl first round)
kisha akiwin ndipo anaingia group stage
 
Saaa why simba anachezaa????
 
Kupitia tovuti rasmi yao
CAF wamethibitisha kuwa mabingwa watetezi wa kombe la CAFCL simba sc, wataanza round ya awali sawa na team ndogo yanga.

My take nadhani CAF wamehongwa sio bure.
Mo dewji akashtaki fifa,huu ni uonevu, .
Na mimi nimeona nikaanza kujiuliza hawa jamaa walikuwa wanajisifu sana kwamba awaanzii chekechea sasa sijui imekuwaje, azam kwenye shirikisho anaanzia hatua inayofuata na sio ya awali
 
Hahahah ndio kuporomoka huko
 
Saaa why simba anachezaa????

Simba ktk rank ya Vilabu bora CAF yupo nafasi ya 14, wanaopewa favour kuanzia round ya kwanza ni zile zilizopo top 10,,, hvyo Simba kaikosa favour hiyo
Ila kama mwaka jana Simba angefuzu kwa kumtoa Jwaneng Galaxy basi angevuna points nyingi na zingemfanya awe ktk top 10 ya CAF club ranking, hvyo msimu huu angeanzia round ya kwanza sio preliminary

Kwa upande wa Azam favour hiyo imemuangukia kwasababu kuna baadhi ya Vilabu vitashindwa kushiriki Cafcc hatua ya awali kutokana na changamoto mbalimbali either za kifedha au sababu nyngnezo ndio maana ukiangalia jedwali la timu zitakazoshiriki CAFcl nchi zote zimeweka timu zao ila ktk jedwali la timu za Cafcc kuna baadhi ya nchi hazina timu
 
Kumbe mlilijua hilo lakini bangi za ukubwani zilikuwa zinawatoa ufahamu kudanganya wasiojielewa
 
Simba ktk rank ya Vilabu bora CAF yupo nafasi ya 14, wanaopewa favour kuanzia round ya kwanza ni zile zilizopo top 10,,, hvyo Simba kaikosa favour hiyo
Ila kama mwaka jana Simba angefuzu kwa kumtoa Jwaneng Galaxy basi angevuna points nyingi na zingemfanya awe ktk top 10 ya CAF club ranking, hvyo msimu huu angeanzia round ya kwanza sio preliminary

Kwa upande wa Azam favour hiyo imemuangukia kwasababu kuna baadhi ya Vilabu vitashindwa kushiriki Cafcc hatua ya awali kutokana na changamoto mbalimbali either za kifedha au sababu nyngnezo ndio maana ukiangalia jedwali la timu zitakazoshiriki CAFcl nchi zote zimeweka timu zao ila ktk jedwali la timu za Cafcc kuna baadhi ya nchi hazina timu
Sasa huyu cocastic anabisha nini tena?
Basi inatosha mkuu ishia hapo 😂
 
Simba ktk rank ya Vilabu bora CAF yupo nafasi ya 14, wanaopewa favour kuanzia round ya kwanza ni zile zilizopo top 10,,, hvyo Simba kaikosa favour hiyo
Ila kama mwaka jana Simba angefuzu kwa kumtoa Jwaneng Galaxy basi angevuna points nyingi na zingemfanya awe ktk top 10 ya CAF club ranking, hvyo msimu huu angeanzia round ya kwanza sio preliminary

Kwa upande wa Azam favour hiyo imemuangukia kwasababu kuna baadhi ya Vilabu vitashindwa kushiriki Cafcc hatua ya awali kutokana na changamoto mbalimbali either za kifedha au sababu nyngnezo ndio maana ukiangalia jedwali la timu zitakazoshiriki CAFcl nchi zote zimeweka timu zao ila ktk jedwali la timu za Cafcc kuna baadhi ya nchi hazina timu
Wee hadi zamalek anaanzia preliminary stage, je naye points hazimbebi na akat yuko ktk top 10.

Cheki hapa.
FB_IMG_16599023573470394.jpg
 
Kupitia tovuti rasmi yao
CAF wamethibitisha kuwa mabingwa watetezi wa kombe la CAFCL simba sc, wataanza round ya awali sawa na team ndogo yanga.

My take nadhani CAF wamehongwa sio bure.
Mo dewji akashtaki fifa,huu ni uonevu, .
Al ahly kamaliza ligi wa tatu kisheria ilibidi aende shirikisho je wajua nini kimetokea huko caf
 
Mimi nilileta taarifa tu sasa unaniuliza mimi nimekuwa CAF?😂
 
Back
Top Bottom