CAF yathibitisha simba kuanza hatua ya awali klabu bingwa

Sasa huyu cocastic anabisha nini tena?
Basi inatosha mkuu ishia hapo [emoji23]
Fuatilia kwa undani, ko simba ndo mlikua mnaiwaza?? Kwa taarifa had Zamalek anaanzia preliminary stage, sasa utashangaa simba?? Khaaaah.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnachekesha kweli.
 
Ndio ukweli wenyewe
 
Mimi nimeleta taarifa mapema tu watu wa soka wajue .
Hayo ya hadi zamalek sijui nini ni nje ya mada.

Sababu simba na yanga ni za hapa Tanzania kwahiyo tusiseme?

Umedata nini 😂😂
 
Na mimi nimeona nikaanza kujiuliza hawa jamaa walikuwa wanajisifu sana kwamba awaanzii chekechea sasa sijui imekuwaje, azam kwenye shirikisho anaanzia hatua inayofuata na sio ya awali
Timu zimeongezeka
 
Hatuna cha kukusaidia nenda kawashtaki CAF basi [emoji23][emoji23]
Niliye mquote nime refer na maelezo yake, ndo nkampa huo uthibitisho, naamini yeye ndo atakuja kuleta ufafanuzi zaidi.

Asiseme kigezo cha points na kuwa ktk top 10, labda aseme wingi wa vilabu shiriki. Ndo ita make senses.
 
Huwa unakurupuka vibaya mnoo, lol
Tuanzie hapa mimi na wewe nani anakurupuka?

Ila wewe mtu kilaza sana hapa ulibisha kwa watu wafuatiliaji kama sisi.

Wewe mpaka utumiwe kwenye magroup ya wasap ya umbeya..ndio umejua sasa?😂😂😂

Huyu mtu kilaza sana aseeh
 
Issue sio top ten mbona zamalek yupo top ten na anaanzia preminaly stage,ni kwamba timu zimeongezeka mwaka huu so zimechaguliwa timu 6 tu zianzie hatua ya kwanza
 
Niliye mquote nime refer na maelezo yake, ndo nkampa huo uthibitisho, naamini yeye ndo atakuja kuleta ufafanuzi zaidi.

Asiseme kigezo cha points na kuwa ktk top 10, labda aseme wingi wa vilabu shiriki. Ndo ita make senses.
Cha muhimu tembo amejulikana na paka wamejulikana pia ..
😂😂
 
Kumbe mlilijua hilo lakini bangi za ukubwani zilikuwa zinawatoa ufahamu kudanganya wasiojielewa

Hili swala ni mpaka ligi za nchi nyingne ziishe ndipo wale wanaoshika nafasi ya 11,12,13 na 14 ndipo wanajua kama wataanzia hatua ya awali au ya kwanza

Kwasbb ktk top10 ya CAF club rank kuna Vilabu kama Pyramids, Rs Berkane, Raja Casablanca wao hawana nafasi ya ushiriki ktk CAf klabu bingwa hvyo zile favour zao za kuanzia hatua ya kwanza zimechukuliwa na aliyeshika nafasi ya 11,12 na 13

Na kama Esperance asingekuwa bingwa nchini kwao basi angeenda kushiriki shirikisho na hvyo ile favour ya kuanzia round ya kwanza ingeenda kwa anayeshika nafasi ya 14 ktk CAF club rank ambae ni Simba

Lakn pamoja na hayo bado Simba kwa rank yake atapangiwa timu dhaifu dhaifu inayoshika nafasi za mbali huko,
ilhali Yanga kwakuwa anashika nafasi ya 74 basi ana uwezekano akapangiwa timu zinazoshika nafasi ya juu juu ktk CAF rank
 
Issue sio top ten mbona zamalek yupo top ten na anaanzia preminaly stage,ni kwamba timu zimeongezeka mwaka huu so zimechaguliwa timu 6 tu zianzie hatua ya kwanza
Na kama zamalek yupo top ten anaanzia huko ilikuwaje hawa jamaa wa kariakoo mkadai mtaanza moja moja bila kucheza hatua ya kwsnza?

Ndio ujue hizo sita ni team kweli kweli.
 
Mimi nimeleta taarifa mapema tu watu wa soka wajue .
Hayo ya hadi zamalek sijui nini ni nje ya mada.

Sababu simba na yanga ni za hapa Tanzania kwahiyo tusiseme?

Umedata nini [emoji23][emoji23]
Umedata wee, tena nikupe taarifa ni team 6 tyuuh ndo zitaanza 1st round, yaan nilivyoona jinsi table ilivyo, walaa sijashangaa na sijahisi kupungukiwa chochote.

Yaan had Primere de agosto anaanza preliminary stage, mbna ni kwere tyuuh.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeshasema kuna uwezekano inaweza kuwa au isiwe

Cha muhimu acha tuone
 
Tuanzie hapa mimi na wewe nani anakurupuka?

Ila wewe mtu kilaza sana hapa ulibisha kwa watu wafuatiliaji kama sisi.

Wewe mpaka utumiwe kwenye magroup ya wasap ya umbeya..ndio umejua sasa?[emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu mtu kilaza sana aseeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km wee mjanja, huu uzi uliweka mda gan? Na uthibitisho umeleta mda gan?? Watu kule juu walikuomba uthibitisho mbna hukutoa????

Unachekesha mnooo.
 
Sio swala la kunipa taarifa ambayo naijua.

Hizo team 6. Ndio team hasa kwelikweli hao wengine hakuna kitu

Sasa Agosto alitoka hatua gani na alicheza CAFCL simba ni shirikisho

Vidole havilingani usilazimishe 😂
 
Na kama zamalek yupo top ten anaanzia huko ilikuwaje hawa jamaa wa kariakoo mkadai mtaanza moja moja bila kucheza hatua ya kwsnza?

Ndio ujue hizo sita ni team kweli kweli.
TP mazembe na Zamalek nani team kweli kweli??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km wee mjanja, huu uzi uliweka mda gan? Na uthibitisho umeleta mda gan?? Watu kule juu walikuomba uthibitisho mbna hukutoa????

Unachekesha mnooo.
Uthibitisho wa nini ikiwa taarifa imetolewa na official site ..
Au ulienda ukakuta uongo?😂

Au basi tumekurupuka ni uongo?

Hata hivyo ndio nimeingia online sasa hivi tangu muda ule..
 
TP mazembe na Zamalek nani team kweli kweli??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawawezi kuzifikia zile 6 prove me wrong!.

Na hata hao mazembe na zamalek wapo mbali sana juu ya simba ..
Hao ni giants lakini wamekosa nafasi sembuse team ndogo simba?
 
Sorry Mr unachanganya sana ktk maelezo yako. Sasa hii table Imetolewaje pasipo kuwa na ratiba kamili?? Kwa sababu hapa kila kitu kiko wazi, kwa mantiki hiyo, hii table inaweza kubadilika muda wowote??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…