CAF yathibitisha simba kuanza hatua ya awali klabu bingwa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi hapa?? Tuna faida ya kuangukia shirikisho. Hatuwazi sana.
Sasa mmefanya usali wa kuangukia huko au kicheza na mabingwa wa africa
 
Sasa km wote ni ma Giants why Mazembe??? Mie nataka vigezo hapa. Ilo nianze kuangalia hizo takwimu utakazonipa.

Hapo kwnye mazembe sijui wameangalia ktu gani japo yupo sawa kwa point na zamalek.
 
Sie yetu macho tutakuwa tunaburudika hapo taifa...mkishinda warembo wa simba wanatupa mbususu. So all the best simba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaa kwa kutulia.
 
Hapo inshu ilivyo inategemea na tmu zilizoshiriki kwa msimu huo. Kama msimu huu timu zipo 58. Wametoa tmu 6 zitakakazoanza hatua ya pili na zinabaki timu 52 zitakazoanza hatua ya awali.

baada ya mchujo huo wa awali zitabaki timu 26 ambazo zitaungana na zile timu 6 jumla zitakuwa timu 32 na baada ya mchujo hapo zitabaki timu 16. Hapo pameeleweka.

Kwahyo hapo wamechukua timu 6 zenye point nying au za juu.
 
Labda inaweza ikawa wameangalia heruf ya mwanzo maan hata kweny list yao ile ya viwango tp mazemb yupo namba 7 na zamalek namba 8 japo point saw
Wameangalia most recent points earned... Yan points zilizovunwa msimu uliopita baina ya hizo timu mbili
 
Fuatilia kwa undani, ko simba ndo mlikua mnaiwaza?? Kwa taarifa had Zamalek anaanzia preliminary stage, sasa utashangaa simba?? Khaaaah.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnachekesha kweli.
Mbna utetezi Mwingi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yanga nao???
 
Kwani Simba waliwahi lini kutwaa ubingwa wa CAF ili wawe ni mmambingwa watetezi? Nina mashaka na hii habari
 
Wanasimba tuadamane mpaka caf
Simba mara ya mwisho ilifanya vizuri kombe la shirikisho, hivyo ingekua inashiriki kombe la shirikisho ingechukua nafasi ya Azam! Na ndio maana umeona Azam inayoshiriki kombe la shirikisho haianzi hatua ya awali.
 
Kupitia tovuti rasmi yao
CAF wamethibitisha kuwa mabingwa watetezi wa kombe la CAFCL simba sc, wataanza round ya awali sawa na team ndogo yanga.

My take nadhani CAF wamehongwa sio bure.
Mo dewji akashtaki fifa,huu ni uonevu, .
Hawa CAF wasenge sanaa kila club zina complain Zamalek wana complain
 
Kupitia tovuti rasmi yao
CAF wamethibitisha kuwa mabingwa watetezi wa kombe la CAFCL simba sc, wataanza round ya awali sawa na team ndogo yanga.

My take nadhani CAF wamehongwa sio bure.
Mo dewji akashtaki fifa,huu ni uonevu, .
Hii inawezaje kutokea jamani?

Sisi si tuna pointi 6,008,888 za 'KAFU' jamani.
 
Ndio ukweli anakurupuka nini Ngurunda la BUZA???
Sikuhizi unazidi kuwa na tabia za kike sana mkuu, sijui ni ushabiki wa hizi team ndo unakutoa akili hivi?

Daah aiseeeh, kwamba na wewe unachamba mtu[emoji23].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…