Sasa mmefanya usali wa kuangukia huko au kicheza na mabingwa wa africa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi hapa?? Tuna faida ya kuangukia shirikisho. Hatuwazi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mmefanya usali wa kuangukia huko au kicheza na mabingwa wa africa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi hapa?? Tuna faida ya kuangukia shirikisho. Hatuwazi sana.
Sisi ktk CAFCL tunaingia ¼ final, lazima yaan lazima.Sasa mmefanya usali wa kuangukia huko au kicheza na mabingwa wa africa
Sasa km wote ni ma Giants why Mazembe??? Mie nataka vigezo hapa. Ilo nianze kuangalia hizo takwimu utakazonipa.
Sie yetu macho tutakuwa tunaburudika hapo taifa...mkishinda warembo wa simba wanatupa mbususu. So all the best simbaSisi ktk CAFCL tunaingia ¼ final, lazima yaan lazima.
Yaan hapa ndo nawaza jibu sipati kabisaa.Hapo kwnye mazembe sijui wameangalia ktu gani japo yupo sawa kwa point na zamalek.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kaa kwa kutulia.Sie yetu macho tutakuwa tunaburudika hapo taifa...mkishinda warembo wa simba wanatupa mbususu. So all the best simba
Yaan hapa ndo nawaza jibu sipati kabisaa.
Wameangalia most recent points earned... Yan points zilizovunwa msimu uliopita baina ya hizo timu mbiliLabda inaweza ikawa wameangalia heruf ya mwanzo maan hata kweny list yao ile ya viwango tp mazemb yupo namba 7 na zamalek namba 8 japo point saw
Mbna utetezi Mwingi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Fuatilia kwa undani, ko simba ndo mlikua mnaiwaza?? Kwa taarifa had Zamalek anaanzia preliminary stage, sasa utashangaa simba?? Khaaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnachekesha kweli.
Yanga nao???Simba ktk rank ya Vilabu bora CAF yupo nafasi ya 14, wanaopewa favour kuanzia round ya kwanza ni zile zilizopo top 10,,, hvyo Simba kaikosa favour hiyo
Ila kama mwaka jana Simba angefuzu kwa kumtoa Jwaneng Galaxy basi angevuna points nyingi na zingemfanya awe ktk top 10 ya CAF club ranking, hvyo msimu huu angeanzia round ya kwanza sio preliminary
Kwa upande wa Azam favour hiyo imemuangukia kwasababu kuna baadhi ya Vilabu vitashindwa kushiriki Cafcc hatua ya awali kutokana na changamoto mbalimbali either za kifedha au sababu nyngnezo ndio maana ukiangalia jedwali la timu zitakazoshiriki CAFcl nchi zote zimeweka timu zao ila ktk jedwali la timu za Cafcc kuna baadhi ya nchi hazina timu
Alisema madam CEOKwani Simba waliwahi lini kutwaa ubingwa wa CAF ili wawe ni mmambingwa watetezi? Nina mashaka na hii habari
Simba mara ya mwisho ilifanya vizuri kombe la shirikisho, hivyo ingekua inashiriki kombe la shirikisho ingechukua nafasi ya Azam! Na ndio maana umeona Azam inayoshiriki kombe la shirikisho haianzi hatua ya awali.Wanasimba tuadamane mpaka caf
Hawa CAF wasenge sanaa kila club zina complain Zamalek wana complainKupitia tovuti rasmi yao
CAF wamethibitisha kuwa mabingwa watetezi wa kombe la CAFCL simba sc, wataanza round ya awali sawa na team ndogo yanga.
My take nadhani CAF wamehongwa sio bure.
Mo dewji akashtaki fifa,huu ni uonevu, .
Hii inawezaje kutokea jamani?Kupitia tovuti rasmi yao
CAF wamethibitisha kuwa mabingwa watetezi wa kombe la CAFCL simba sc, wataanza round ya awali sawa na team ndogo yanga.
My take nadhani CAF wamehongwa sio bure.
Mo dewji akashtaki fifa,huu ni uonevu, .
Sikuhizi unazidi kuwa na tabia za kike sana mkuu, sijui ni ushabiki wa hizi team ndo unakutoa akili hivi?Ndio ukweli anakurupuka nini Ngurunda la BUZA???