[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah.Mbna utetezi Mwingi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kamoo Sweetheart [emoji52][emoji52][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah.
Dharau, majigambo, tambo kwishney.Si mlisema nyie level yenu sio ya hapa imekuaje tena [emoji3525][emoji3525]
Tutangulie kwanza wale wa Ikulu kwa mama sababu tff inatuonea sana halafu ndo simba wafuate kwenda cafWanasimba tuadamane mpaka caf
Pengine wameangalia point zilizovunwa kwa ufanisi zaidi.Hapo kwnye mazembe sijui wameangalia ktu gani japo yupo sawa kwa point na zamalek.
"CAF wamethibitisha kuwa mabingwa watetezi wa kombe la CAFCL simba sc". But why????????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kupitia tovuti rasmi yao
CAF wamethibitisha kuwa mabingwa watetezi wa kombe la CAFCL simba sc, wataanza round ya awali sawa na team ndogo yanga.
My take nadhani CAF wamehongwa sio bure.
Mo dewji akashtaki fifa,huu ni uonevu, .
Wee yaan wala hata hatuna stress, sasa km Zamalek anaanza pre, sisi nani tusianze?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana Shirikisho kuna game 3 na sio 2. Hivyo hatua inayofuata ni ya pili kisha hatua ya kwanza.Azam washindwe wao tu kutinga Groups stage.
Kikwazo chao itakuwa ni timu atakayopangiwa ni hizi za Club bingwa zilizofungwa round ya pili, zinahamishiwa upande wa mechi za Shirikisho.
Ndio nafahamu. Azam ana round mbili tu kabla ya Groups stage.Hapana Shirikisho kuna game 3 na sio 2. Hivyo hatua inayofuata ni ya pili kisha hatua ya kwanza.
Ligi ya Egypt haija isha japo Al Ahly wapo nafasi ya tatu sijajua kwanini wapo Champions LeagueAl ahly kamaliza ligi wa tatu kisheria ilibidi aende shirikisho je wajua nini kimetokea huko caf
Huo unao sema ni uongo kwenye hatua za awali hakuna pots ni draw tu ina amuaHili swala ni mpaka ligi za nchi nyingne ziishe ndipo wale wanaoshika nafasi ya 11,12,13 na 14 ndipo wanajua kama wataanzia hatua ya awali au ya kwanza
Kwasbb ktk top10 ya CAF club rank kuna Vilabu kama Pyramids, Rs Berkane, Raja Casablanca wao hawana nafasi ya ushiriki ktk CAf klabu bingwa hvyo zile favour zao za kuanzia hatua ya kwanza zimechukuliwa na aliyeshika nafasi ya 11,12 na 13
Na kama Esperance asingekuwa bingwa nchini kwao basi angeenda kushiriki shirikisho na hvyo ile favour ya kuanzia round ya kwanza ingeenda kwa anayeshika nafasi ya 14 ktk CAF club rank ambae ni Simba
Lakn pamoja na hayo bado Simba kwa rank yake atapangiwa timu dhaifu dhaifu inayoshika nafasi za mbali huko,
ilhali Yanga kwakuwa anashika nafasi ya 74 basi ana uwezekano akapangiwa timu zinazoshika nafasi ya juu juu ktk CAF rank