CAF yathibitisha simba kuanza hatua ya awali klabu bingwa

CAF yathibitisha simba kuanza hatua ya awali klabu bingwa

Kupitia tovuti rasmi yao
CAF wamethibitisha kuwa mabingwa watetezi wa kombe la CAFCL simba sc, wataanza round ya awali sawa na team ndogo yanga.

My take nadhani CAF wamehongwa sio bure.
Mo dewji akashtaki fifa,huu ni uonevu, .
"CAF wamethibitisha kuwa mabingwa watetezi wa kombe la CAFCL simba sc". But why????????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Formula ni rahisi tu timu zipo 58, zinazotakiwa first stage ni 32 hivyo
58-32 = 26,
26x2 = 52,
58- 52=6
 
Azam washindwe wao tu kutinga Groups stage.

Kikwazo chao itakuwa ni timu atakayopangiwa ni hizi za Club bingwa zilizofungwa round ya pili, zinahamishiwa upande wa mechi za Shirikisho.
 
Azam washindwe wao tu kutinga Groups stage.

Kikwazo chao itakuwa ni timu atakayopangiwa ni hizi za Club bingwa zilizofungwa round ya pili, zinahamishiwa upande wa mechi za Shirikisho.
Hapana Shirikisho kuna game 3 na sio 2. Hivyo hatua inayofuata ni ya pili kisha hatua ya kwanza.
 
Hapana Shirikisho kuna game 3 na sio 2. Hivyo hatua inayofuata ni ya pili kisha hatua ya kwanza.
Ndio nafahamu. Azam ana round mbili tu kabla ya Groups stage.

(Nilimaanisha, Game ya kwanza ya Azam atacheza na Timu ya Level yake - Hii ni rahisi kupita itategemea na timu atakayopangiwa nayo. Kisha atakutana na timu ngumu toka huko kwa Mabingwa)
 
Al ahly kamaliza ligi wa tatu kisheria ilibidi aende shirikisho je wajua nini kimetokea huko caf
Ligi ya Egypt haija isha japo Al Ahly wapo nafasi ya tatu sijajua kwanini wapo Champions League
 
Hili swala ni mpaka ligi za nchi nyingne ziishe ndipo wale wanaoshika nafasi ya 11,12,13 na 14 ndipo wanajua kama wataanzia hatua ya awali au ya kwanza

Kwasbb ktk top10 ya CAF club rank kuna Vilabu kama Pyramids, Rs Berkane, Raja Casablanca wao hawana nafasi ya ushiriki ktk CAf klabu bingwa hvyo zile favour zao za kuanzia hatua ya kwanza zimechukuliwa na aliyeshika nafasi ya 11,12 na 13

Na kama Esperance asingekuwa bingwa nchini kwao basi angeenda kushiriki shirikisho na hvyo ile favour ya kuanzia round ya kwanza ingeenda kwa anayeshika nafasi ya 14 ktk CAF club rank ambae ni Simba

Lakn pamoja na hayo bado Simba kwa rank yake atapangiwa timu dhaifu dhaifu inayoshika nafasi za mbali huko,
ilhali Yanga kwakuwa anashika nafasi ya 74 basi ana uwezekano akapangiwa timu zinazoshika nafasi ya juu juu ktk CAF rank
Huo unao sema ni uongo kwenye hatua za awali hakuna pots ni draw tu ina amua
 
Back
Top Bottom