mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
usichoelewa ni nini?
ungekuwa na adabu ningekusaidia kujua toka vyanzo reliable. ila kwa kuwa unaonekana mbumbumbu nikuulize tu,kwa hiyo na wewe na ujinga wako ukaamini kabisa kwa CAF Simba inashika nafasi ya 266?Wewe ni mungo wa kutupwa unafikiri sisi wote tuna akili za ki mbumbumbu fc, uki google Caf club football database yao waliyo i uptodate 22 March 2020 Simba kutoka Tanzania ni club inayoshika nafasi ya 266. Sasa endelea kuwadanganya mbumbumbu fc wenzako. Hakuna uptodate ya 27march iliyotolewa na caf.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna la kunifundisha katika ilo, izo data kila mwaka zina badilika kulingana na ushiriki wa klabu husika, mimi sio mbumbumbu kama wewe, wadanganye mbumbumbu wenzako.izo caf club ranking zipo wazi sikuzote na vigezo husika vimeambatanishwa na wana zi uptodate marakwamara.ungekuwa na adabu ningekusaidia kujua toka vyanzo reliable. ila kwa kuwa unaonekana mbumbumbu nikuulize tu,kwa hiyo na wewe na ujinga wako ukaamini kabisa kwa CAF Simba inashika nafasi ya 266?
Kinachozingatiwa ni performance kwenye CAF tournaments, hebu tupe data za Orlando Pirates na Simba kwenye CAF tournaments kwa mwaka 2020 na mwaka 2019Kwa hiyo Simba ni wakali kuliko Orlando Pirates??????!!!!
Usiamini kila kitu ukikutacho kwenye mitandao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utopolo je?
Africa Kuna klabu 25 tu zilizowekwa hapa...tehtehtehMbona siioni yanga?
Simba SC = Mbeleko SCNaomba utujuze nafasi ya Bingwa wetu wa kihistoria Yanga, yupo namba ngapi?. Halafu mbona kama Simba inapendelewa sana na Marefa pamoja na CAF?. Wametumia vigezo gani?. Mwaka huu mnyama si alitolewa first round?. Yanga angalau ilinusa kidogo kuingia group stage, na pia Yanga si ilichezea sharubu za Simba kupitia goli murua la Morson?.
Kinachozingatiwa ni performance kwenye CAF tournaments, hebu tupe data za Orlando Pirates na Simba kwenye CAF tournaments kwa mwaka 2020 na mwaka 2019
Africa Mashariki ni Burundi, Kenya, Rwanda, South Sudan, Tanzania, and Uganda. Labda useme Africa Mashariki na Kati ndo zinaingia DR Congo
Mbona siioni yanga?