CAF yatoa ranking ya timu Afrika,Simba Baba lao Afrika Mashariki

CAF yatoa ranking ya timu Afrika,Simba Baba lao Afrika Mashariki

Wewe ni mungo wa kutupwa unafikiri sisi wote tuna akili za ki mbumbumbu fc, uki google Caf club football database yao waliyo i uptodate 22 March 2020 Simba kutoka Tanzania ni club inayoshika nafasi ya 263.Sasa endelea kuwadanganya mbumbumbu fc wenzako. Hakuna uptodate ya 27march iliyotolewa na caf.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mungo wa kutupwa unafikiri sisi wote tuna akili za ki mbumbumbu fc, uki google Caf club football database yao waliyo i uptodate 22 March 2020 Simba kutoka Tanzania ni club inayoshika nafasi ya 266. Sasa endelea kuwadanganya mbumbumbu fc wenzako. Hakuna uptodate ya 27march iliyotolewa na caf.

Sent using Jamii Forums mobile app
ungekuwa na adabu ningekusaidia kujua toka vyanzo reliable. ila kwa kuwa unaonekana mbumbumbu nikuulize tu,kwa hiyo na wewe na ujinga wako ukaamini kabisa kwa CAF Simba inashika nafasi ya 266?
 
ungekuwa na adabu ningekusaidia kujua toka vyanzo reliable. ila kwa kuwa unaonekana mbumbumbu nikuulize tu,kwa hiyo na wewe na ujinga wako ukaamini kabisa kwa CAF Simba inashika nafasi ya 266?
Huna la kunifundisha katika ilo, izo data kila mwaka zina badilika kulingana na ushiriki wa klabu husika, mimi sio mbumbumbu kama wewe, wadanganye mbumbumbu wenzako.izo caf club ranking zipo wazi sikuzote na vigezo husika vimeambatanishwa na wana zi uptodate marakwamara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba utujuze nafasi ya Bingwa wetu wa kihistoria Yanga, yupo namba ngapi?. Halafu mbona kama Simba inapendelewa sana na Marefa pamoja na CAF?. Wametumia vigezo gani?. Mwaka huu mnyama si alitolewa first round?. Yanga angalau ilinusa kidogo kuingia group stage, na pia Yanga si ilichezea sharubu za Simba kupitia goli murua la Morson?.
Simba SC = Mbeleko SC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom