Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Angalau mseme hivi huenda tukawaelewa kuliko kujipa namba ambazo si zenu.Lakini hata hivyo tumewaacha mbaliView attachment 1403704View attachment 1403705
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalau mseme hivi huenda tukawaelewa kuliko kujipa namba ambazo si zenu.Lakini hata hivyo tumewaacha mbaliView attachment 1403704View attachment 1403705
Sent using Jamii Forums mobile app
hii yanga au utopolo...[emoji1787][emoji1787]
Kama ndivyo hiyo ranking utaipata Manzese!Naomba utujuze nafasi ya Bingwa wetu wa kihistoria Yanga, yupo namba ngapi?. Halafu mbona kama Simba inapendelewa sana na Marefa pamoja na CAF?. Wametumia vigezo gani?. Mwaka huu mnyama si alitolewa first round?. Yanga angalau ilinusa kidogo kuingia group stage, na pia Yanga si ilichezea sharubu za Simba kupitia goli murua la Morson?.
Kaizer chefs aliondoshwa round ya kwanza ana ubora gani?Kwani Mikia si aliondoshwa raundi ya kwanza na Ud Songo,huo ubora kautoa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii umeikota wapi. Mimi ninayo ya 22 March 2020 ambapo katika 50 hakuna timu ya Tanzania
Achana na Mikia FC shemela, hao Mbumbumbu FC.Hahahaa. Kaamua awafurahishe mikia wenzie.
Tena kuwakomesha kawaekea ya mwaka 2019. 😂😂😂
Mikia haoHii umeikota wapi. Mimi ninayo ya 22 March 2020 ambapo katika 50 hakuna timu ya Tanzania
Africa Football / Soccer Clubs Ranking
Updated after matches played on 22 March 2020
Imebidi shem mana naona mleta uzi kawaingiza cha Kikke.Achana na Mikia FC shemela, hao Mbumbumbu FC.
Yaani bonge la chaka shemela.Imebidi shem mana naona mleta uzi kawaingiza cha Kikke.
Huachii😀😀😀Nimeenda mpaka nafasi ya 150 5imba hayupo.
Ama kweli M b u m b u m b u mnajuana. 😂😂😂
😀Huachii😀😀😀
Mkuu naona uko busy Sana na Covid-19, umeshagundua Kinga au tiba?Hizi akili za HAJI MANARA huwa mnatembea nazo nyie mikia Fc wote??
Watu tuko kwenye Covid 19 we unatuletea mambo ya Simba?
Sema huwa nakukubali sana kwenye mambo za siasa mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeamin kweli Rage alivyo waita mbumbumbu hakukosea, wewe unamwamin uyo mbumbumbu mwenzako kwamba Caf wana chanzo cha siri ambacho yeye binafsi anapewa taarifa?!!!Hawa UTOPOLo ghalib amewafanya wawe MATAHIRA Mkuu OKWI BOBAN SUNZU ameleta rank akasema chanzo alichochukua hiyo taarifa ni shirikisho la Kandanda Africa (CAF) ila Vyura wachache wanatuletea data za vichochoroni.
Orlando sasa nayo ni timu kwa miaka ya hivi karibuni?Kwa hiyo Simba ni wakali kuliko Orlando Pirates??????!!!!
Usiamini kila kitu ukikutacho kwenye mitandao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ligi mtaisikia tu hadi 2025Nimeenda mpaka nafasi ya 150 5imba hayupo.
Ama kweli M b u m b u m b u mnajuana. 😂😂😂
Pesa na motisha anazozipata Simba kwa muda mfupi asingezipata Mazembe.Bado sijapata jibu juu ya maslahi yaliyomfanya Ajib ashindwane na Mazembe ila anayapata Simba!