CAF yatoa ranking ya timu Afrika,Simba Baba lao Afrika Mashariki

CAF yatoa ranking ya timu Afrika,Simba Baba lao Afrika Mashariki

Naomba utujuze nafasi ya Bingwa wetu wa kihistoria Yanga, yupo namba ngapi?. Halafu mbona kama Simba inapendelewa sana na Marefa pamoja na CAF?. Wametumia vigezo gani?. Mwaka huu mnyama si alitolewa first round?. Yanga angalau ilinusa kidogo kuingia group stage, na pia Yanga si ilichezea sharubu za Simba kupitia goli murua la Morson?.
Kama ndivyo hiyo ranking utaipata Manzese!
 
View attachment 1402914

Hiyo ni ranking mpya iliyotoka tarehe 27 March,2020
Hii umeikota wapi. Mimi ninayo ya 22 March 2020 ambapo katika 50 hakuna timu ya Tanzania

Africa Football / Soccer Clubs Ranking
Updated after matches played on 22 March 2020
RankClub / CountryPoints1-yr change
1
Al Ahly

Egypt
166229
1624
2
Esperance de Tunis

Tunisia
164014
1617
3
TP Mazembe

Congo DR
15917
1595
4
Al-Merreikh

Sudan
15518
1554
5
Etoile du Sahel

Tunisia
15469
1553
6
Al Hilal Omdurman

Sudan
15453
1544
7
El Zamalek

Egypt
154289
1492
8
Wydad Casablanca

Morocco
153934
1514
9
Mamelodi Sundowns FC

South Africa
153940
1508
10
CS Sfaxien

Tunisia
152232
1528
11
Vita Club

Congo DR
151691
1563
12
RCA Raja Casablanca Athletic

Morocco
151657
1479
13
Dynamos

Zimbabwe
150623
1506
14
1º de Agosto

Angola
150614
1502
15
Stade Malien Bamako

Mali
149014
1490
16
Kaizer Chiefs

South Africa
14798
1466
17
Orlando Pirates (RSA)

South Africa
146986
1440
18
Club Africain

Tunisia
1465111
1431
19
Djoliba AC

Mali
146328
1463
20
Atletico Petro Luanda

Angola
145258
1434
21
Coton Sport

Cameroon
1451146
1497
22
Bidvest Wits

South Africa
14504
1449
23
Enyimba

Nigeria
144947
1434
24
Motema Pembe

Congo DR
14489
1448
25
ES Sétif

Algeria
144777
1460
26
ASEC Mimosas

Ivory Coast
144285
1458
27
Recreativo do Libolo

Angola
1442174
1493
28
FUS Rabat

Morocco
143436
1422
29
Al Masry

Egypt
1432108
1456
30
Plateau United

Nigeria
1430177
1391
31
Highlanders

Zimbabwe
14266
1426
32
Asante Kotoko (GHA)

Ghana
14261
1423
33
Pyramids FC

Egypt
1421983
1290
34
Saint-Eloi Lupopo

Congo DR
14198
1419
35
Olympique de Bamako

Mali
14197
1419
36
Kano Pillars

Nigeria
1417111
1395
37
AS Réal Bamako

Mali
14158
1415
38
JS Kabylie

Algeria
1414104
1393
39
USM Alger

Algeria
1414199
1458
40
Kabuscorp SCP (ANG)

Angola
141330
1418
41
CS Constantine

Algeria
141348
1401
42
Gunners

Zimbabwe
14119
1411
43
Enugu Rangers

Nigeria
1411118
1389
44
UMS de Loum

Cameroon
141167
1426
45
Difaâ El Jadida

Morocco
1411117
1438
46
Dolphins FC

Nigeria
1409200
1371
47
CR Belouizdad

Algeria
1408432
1341
48
JS Saoura

Algeria
14062
1406
49
Lobi Stars

Nigeria
140658
1396
50
RSB Berkane

Morocco
140680
1391
 
Hii umeikota wapi. Mimi ninayo ya 22 March 2020 ambapo katika 50 hakuna timu ya Tanzania

Africa Football / Soccer Clubs Ranking
Updated after matches played on 22 March 2020
RankClub / CountryPoints1-yr change
1
Al Ahly

Egypt
166229
1624
2
Esperance de Tunis

Tunisia
164014
1617
3
TP Mazembe

Congo DR
15917
1595
4
Al-Merreikh

Sudan
15518
1554
5
Etoile du Sahel

Tunisia
15469
1553
6
Al Hilal Omdurman

Sudan
15453
1544
7
El Zamalek

Egypt
154289
1492
8
Wydad Casablanca

Morocco
153934
1514
9
Mamelodi Sundowns FC

South Africa
153940
1508
10
CS Sfaxien

Tunisia
152232
1528
11
Vita Club

Congo DR
151691
1563
12
RCA Raja Casablanca Athletic

Morocco
151657
1479
13
Dynamos

Zimbabwe
150623
1506
14
1º de Agosto

Angola
150614
1502
15
Stade Malien Bamako

Mali
149014
1490
16
Kaizer Chiefs

South Africa
14798
1466
17
Orlando Pirates (RSA)

South Africa
146986
1440
18
Club Africain

Tunisia
1465111
1431
19
Djoliba AC

Mali
146328
1463
20
Atletico Petro Luanda

Angola
145258
1434
21
Coton Sport

Cameroon
1451146
1497
22
Bidvest Wits

South Africa
14504
1449
23
Enyimba

Nigeria
144947
1434
24
Motema Pembe

Congo DR
14489
1448
25
ES Sétif

Algeria
144777
1460
26
ASEC Mimosas

Ivory Coast
144285
1458
27
Recreativo do Libolo

Angola
1442174
1493
28
FUS Rabat

Morocco
143436
1422
29
Al Masry

Egypt
1432108
1456
30
Plateau United

Nigeria
1430177
1391
31
Highlanders

Zimbabwe
14266
1426
32
Asante Kotoko (GHA)

Ghana
14261
1423
33
Pyramids FC

Egypt
1421983
1290
34
Saint-Eloi Lupopo

Congo DR
14198
1419
35
Olympique de Bamako

Mali
14197
1419
36
Kano Pillars

Nigeria
1417111
1395
37
AS Réal Bamako

Mali
14158
1415
38
JS Kabylie

Algeria
1414104
1393
39
USM Alger

Algeria
1414199
1458
40
Kabuscorp SCP (ANG)

Angola
141330
1418
41
CS Constantine

Algeria
141348
1401
42
Gunners

Zimbabwe
14119
1411
43
Enugu Rangers

Nigeria
1411118
1389
44
UMS de Loum

Cameroon
141167
1426
45
Difaâ El Jadida

Morocco
1411117
1438
46
Dolphins FC

Nigeria
1409200
1371
47
CR Belouizdad

Algeria
1408432
1341
48
JS Saoura

Algeria
14062
1406
49
Lobi Stars

Nigeria
140658
1396
50
RSB Berkane

Morocco
140680
1391
Mikia hao
 
Mbona hajaweka rank ya timu inayoongoza kufungwa magoli mengi ugenini africa
 
Bado sijapata jibu juu ya maslahi yaliyomfanya Ajib ashindwane na Mazembe ila anayapata Simba!
 
Hawa UTOPOLo ghalib amewafanya wawe MATAHIRA Mkuu OKWI BOBAN SUNZU ameleta rank akasema chanzo alichochukua hiyo taarifa ni shirikisho la Kandanda Africa (CAF) ila Vyura wachache wanatuletea data za vichochoroni.
 
Hawa UTOPOLo ghalib amewafanya wawe MATAHIRA Mkuu OKWI BOBAN SUNZU ameleta rank akasema chanzo alichochukua hiyo taarifa ni shirikisho la Kandanda Africa (CAF) ila Vyura wachache wanatuletea data za vichochoroni.
Nimeamin kweli Rage alivyo waita mbumbumbu hakukosea, wewe unamwamin uyo mbumbumbu mwenzako kwamba Caf wana chanzo cha siri ambacho yeye binafsi anapewa taarifa?!!!

Hizo taarifa za vilabu barani afrika zilizopo Google ni official kutoka Caf na uwa zinawekwa public pamoja na vigezo wanavyotumia. Uyo Mbumbumbu aliye leta uzi hana chanzo chochote official kutoka Caf kwa data alizoweka nia ni ku ulaghai umma sijajua kwa manufaa ya nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado sijapata jibu juu ya maslahi yaliyomfanya Ajib ashindwane na Mazembe ila anayapata Simba!
Pesa na motisha anazozipata Simba kwa muda mfupi asingezipata Mazembe.
Mazembe ina ma-striker wa daraja la dunia, Eliud Ambokile na Singano wameenda Mazembe wanafanya nini?
 
Back
Top Bottom