Mtani mbona mnatoa habari nusu nusu sasa nani ataamini hapo kwamba kweli hizo rank zimetolewa huo mwezi march?Shadeeya nisaidie kuitafuta Migogoro fc na uniambie ni namba ngapi, si unajua tena macho yangu yameanza kusumbua uzee huu.
Tafadhali naomba msaada wako.
Nenda ka Google Africa/football clubs rankingHahahaaa. Mumeitolea wapi hii eti Mtani?
Nimeenda Mkuu huyu jamaa kajua kuwaingiza Chakka mikia.
Mkiani kwenyewe haipo Mkuu.
Mtani umeitoa wapi hii? π€π€π€π€Africa Mashariki ni Burundi, Kenya, Rwanda, South Sudan, Tanzania, and Uganda. Labda useme Africa Mashariki na Kati ndo zinaingia DR Congo
πππ Mpo juu wapi eti?Tupo vizuri aisee kila mwaka tuko juu
Kuna wenzetu wapo kugombana alwayz
Hahahaa. Kaamua awafurahishe mikia wenzie.Africa Kuna klabu 25 tu zilizowekwa hapa...tehtehteh
Waongo hao wasikusumbue Mkuu.Kwani Mikia si aliondoshwa raundi ya kwanza na Ud Songo,huo ubora kautoa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa. Ameshajua Mikia wenzie wanapenda kauli sukari.Wewe ni mungo wa kutupwa unafikiri sisi wote tuna akili za ki mbumbumbu fc, uki google Caf club football database yao waliyo i uptodate 22 March 2020 Simba kutoka Tanzania ni club inayoshika nafasi ya 263.Sasa endelea kuwadanganya mbumbumbu fc wenzako. Hakuna uptodate ya 27march iliyotolewa na caf.
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π πHuna la kunifundisha katika ilo, izo data kila mwaka zina badilika kulingana na ushiriki wa klabu husika, mimi sio mbumbumbu kama wewe, wadanganye mbumbumbu wenzako.izo caf club ranking zipo wazi sikuzote na vigezo husika vimeambatanishwa na wana zi uptodate marakwamara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swahiba mleta uzi muongo. Kawaletea rank za mwaka 2019 tena mwanzoni huko.
Kileleni aisee tusha wamwagia cha piliπππ Mpo juu wapi eti?